Na lile la kichawa sio?Usifananishe Navy na jeshi la maonyesho la CCM
Ama anapewa mlungula ili asitekeleze majukumu yake?Uliwahi kuona wapi commando anadaiwa songesha
Wote makomando tu .Hivi kama Navy/Delta ni ma komando hawa wakwetu tuwaitaje Kamando AU 😃😃
Duh wajipake majivu tena?!! 😀😀😀Wapo simple sana, hawana mwili wa mabaunsa, wahaja beba magogo, fire extinguisher, hawaja jipaka majivu,
Kongole kwenu delta force
Duh 😀😀😀Uliwahi kuona wapi commando anadaiwa songesha