Kulikoni makomandoo wa delta hatujawaona na mabegi na mavitu mwilini

Kulikoni makomandoo wa delta hatujawaona na mabegi na mavitu mwilini

Tunawadharau ila ndio hao wanasaidia kwenye ulinzi wa mipaka yetu.

Just imagine tumezengukwa na nchi nane lakini tunaendelea kudunda tu.

Tuvipende na kuviboresha vya kwetu.
 
Tunawadharau ila ndio hao wanasaidia kwenye ulinzi wa mipaka yetu.

Just imagine tumezengukwa na nchi nane lakini tunaendelea kudunda tu.

Tuvipende na kuviboresha vya kwetu.
Aliyekuzunguka ana nini cha kukutisha kwanza?Chongo kwa vipofu waliomzunguka ataachaje kuwa na kujiita mfalme na muongoza njia?
NB:Waambie M 23 wanawasabahi kutoka Nord Kivu.
 
Wapo simple sana, hawana mwili wa mabaunsa, hawajabeba magogo, fire extinguisher, hawaja jipaka majivu,

Kongole kwenu delta force
Iyo kubeba magogo ni mazoezi ya kuweka uimara wa mwili, kuongeza nguvu na ustamihilivu,hata hao makomandoo wa USA pia wanafanya mazoezi ya ivyo mkuu!
 
Tunawadharau ila ndio hao wanasaidia kwenye ulinzi wa mipaka yetu.

Just imagine tumezengukwa na nchi nane lakini tunaendelea kudunda tu.

Tuvipende na kuviboresha vya kwetu.
Ishu sio kuzungukwa na nchi nane, ishu n una nn na umezungukwa na nani.
 
Delta force walienda kufanya kazi sio maigizo
 
Maonesho wanavaa mabegi makubwa ila wakifika congo goma ,wanatubegi tudogo tume beba chupi ,moxer,mafuta ya kupaka.Jezi ni hiyo hiyo fua ukauke.
Jeshi lililoamua kujidhalilisha kwa wazazi,ndugu,watoto na watanzania wengi kuuwawa kwa gharama ya kumtumikia na kumlinda mkimbizi kutoka Bwejuu.
 
Wakomunisti hao. Akili zao zimejaa popaganda chafu.

Wanadhani watanzania bado wapo 1961
 
Kwanza sijawahi kumwona Trump au Obama wamevaa magwanda kama bi Tambukareli. Hapa kwetu ni Kibisa tupu
 
Kwanza sijawahi kumwona Trump au Obama wamevaa magwanda kama bi Tambukareli. Hapa kwetu ni Kibisa tupu
Bado wanatumia ubongo wa wakoloni.Vitishovitisho muda wote.Gumboot diplomacy.Wanawaona wananchi wote kama wanakijiji wao.
 
Back
Top Bottom