Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Delta wamebeba akili
Na Israel ambaye kazungukwa na nchi maadui wengi?Tunawadharau ila ndio hao wanasaidia kwenye ulinzi wa mipaka yetu.
Just imagine tumezengukwa na nchi nane lakini tunaendelea kudunda tu.
Tuvipende na kuviboresha vya kwetu.