Na lile la kichawa sio?Usifananishe Navy na jeshi la maonyesho la CCM
Ama anapewa mlungula ili asitekeleze majukumu yake?Uliwahi kuona wapi commando anadaiwa songesha
Wote makomando tu .Hivi kama Navy/Delta ni ma komando hawa wakwetu tuwaitaje Kamando AU ππ
Duh wajipake majivu tena?!! πππWapo simple sana, hawana mwili wa mabaunsa, wahaja beba magogo, fire extinguisher, hawaja jipaka majivu,
Kongole kwenu delta force
Duh πππUliwahi kuona wapi commando anadaiwa songesha