Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Yanabikwa
 
Pressure imeanza kupanda, nimezoea wiki ya mwisho ya mwezi wa kwanza...jiandae mapema kisaikolojia.
 
Subiri Andaa Ada ya veta Mapema, maana yanaachiwa wiki ijayo Kuna four na zero tu ,one three na two ni zakutafuta kwa tochi yaani hatari
Acha vitisho,wanarekebisha(standardize) 😂😂😂😂
 
Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
 
Kwa matokea ya form II yalivyo unadhani ya form IV yatakuwaje? Tulio na watoto waliomaliza 2022 tufunge na kuomba hali iwe ya kawaida. Kwa dalili zilivyo kuna kilio.
Kweli eeeehhhh!!!!😂😂😂😂😂
 
Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
Chuo alisomea wapi? Ali-graduate?
 
Back
Top Bottom