Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Mwaka jana walichelewa kufanya mitihani.
Hata hvyo muda badooo sanaaa. Kuweni wapoleeee.

Matokeo yatatokaa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kukumbukaa, ila yalikuja fresh mnooo.
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Mwaka jana yalitoka tarehe kama ya leo tar 15/01 unasemaje ya mwaka huu yanachelewa kulinganisha na mwaka jana?
 
Back
Top Bottom