Kulikoni matokeo kidato Cha nne kuchelewa kutangazwa

Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
Bora ubebe box Canada kuliko kuwa hata mganga huku bongo. Hahahaha
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
15/1/2023 yanatangazwa
 
Yeah. Ni graduate. Sipendi kuweka details nyingi...
Ila, aliwahi kuongoza pepa ya matriculation UD!
Sijataka uweke details nyingi. Majibu yanatosha kabisa na kuniruhusu kusema huyo jamaa yako ni mzembe kupitiliza. Kwa sifa zake ulizotaja kubeba boxi ni kujitakia. Mshauri arudi bongo agombee udiwani.
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Watakao faulu wataenda advance mwezi wa 5, 6 au 7 weee kwanini unataka yatoke haraka?
 
Kwa matokea ya form II yalivyo unadhani ya form IV yatakuwaje? Tulio na watoto waliomaliza 2022 tufunge na kuomba hali iwe ya kawaida. Kwa dalili zilivyo kuna kilio.
Sasa kama watoto wenu hawasomi mnategemea miujiza gani?
 
Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
Inaonesha uliumia sana alipokushinda
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Bwejuu Sekondari ndo niliposoma
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Labda vijana wametaga na kutotoa sana
 
Matokeo ni yale yale kuna division I,II,III,IV na Zero. Tulia yatatoka
 
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Jumatatu tega sikio
 
acha kukariri
 
Presha ya nini wakati form four faiure ndio wanaokula maisha?
Kuna rafiki yangu alipiga one ya 7 fom 4, na One ya tatu fom 6, yuko Canada anafanya kazi ya kubeba box... Wakati vilaza wanashikilia vyeo kwenye ofisi nyeti...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanayaedit kwa kutumia snapchat maana hali ni mbayaaaaa
 
Back
Top Bottom