Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.