Akija huko Dar atahonga Boda Boda na Vitz,mjiandae.Kaanza kuwahonga Hadi baiskeli
Na wewe honga,mkono mtupu haulambwiAkija huko Dar atahonga Boda Boda na Vitz,mjiandae.
Wezi ni wengi mateso ya lisu sasa ni Neema na utajiri kwa Amos makala mbowe chawaccm na chauma ubwabwa, pesa zinapigwa kama upepoHali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
Amos makala sasa ni bilionea kupitia upepo huuMuongozaji wa tamthilia hii mbaya yupo Msoga akibadili badili muswaada 😡
Wamekuwa exposed sana, so wame revert to mbinu za kiimla, kutumia nguvu sana na jamii zenyewe wanazolenga ni hizo ambazo hazijelewoHali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
Iko kwenye mayday mayday SOS.. T 107 TZAHali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.