Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
What.?Ndio ujue ilipota awamu ya makosa
Kabisa mkuuMikojo na kinyesi kuwa pamoja ni ngumu labda kwa kuku kipindi ccm ya nyerere
Mbaya mno Samia inalazimika kusomba sana watu Ili ahutubieHali ni mbaya kwao
Kaanza kuwahonga Hadi baiskeliMbaya mno Samia inalazimika kusomba sana watu Ili ahutubie
Makosa yanasahihishwaWhat.?
Tatizo remote ndo inafanya kaziHali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
Sure mkuuRais kama hutengezi Bond na wananchi wa chini inakua kazi sana
CCM ilishakufa zamani ni vyombo vya dola tu ndio vinaibeba. JPM alirudisha imani kwa wananchi baada ya kuwashughulikia mafisadi. Sasa mama alikuja na sera kama za JK na alipogundua wainzani wanakuja juu akaamua kutumia vyombo vya dola kama JPM. Akasahau kuwa pamoja na JPM kutumia vyombo vya dola lakini pia alikuwa anapambana na mafisadi na kuwasemea wanyonge. Mama kawa rafiki wa mafisadi na adui wa wanyonge. Halafu akaongezea ukatili dhidi ya wanaomkosoa. Lazima hali iwe mbaya zaidi.Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
JPM hakuwai kukemewa na UN,ila Samia amejieleza Leo uko UNCCM ilishakufa zamani ni vyombo vya dola tu ndio vinaibeba. JPM alirudisha imani kwa wananchi baada ya kuwashughulikia mafisadi. Sasa mama alikuja na sera kama za JK na alipogundua wainzani wanakuja juu akaamua kutumia vyombo vya dola kama JPM. Akasahau kuwa pamoja na JPM kutumia vyombo vya dola lakini pia alikuwa anapambana na mafisadi na kuwasemea wanyonge. Mama kawa rafiki wa mafisadi na adui wa wanyonge. Halafu akaongezea ukatili dhidi ya wanaomkosoa. Lazima hali iwe mbaya zaidi.
Sasa hapo ujichanganye useme gari yangu ilikuwa imeshapanga safari abiria route nyingine.....Utajua hujuiHali ni mbaya kwao
Noma sanaSasa hapo ujichanganye useme gari yangu ilikuwa imeshapanga safari abiria route nyingine.....Utajua hujui
Magari kama hayo huku CHADEMA yanatumika kubeba ng'ombe na mbuzi.Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
Mnaua wakosoaji, mnateka na kuwatesa waliogoma kuwa CHAWA, Watanzania tunasema NO REFORM NO ELECTIONHali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.
Kama CCM Wanapendwa si wapige mikutano kavu kama ya kina Heche.
Samia ameidhoofisha sana CCM. Mambo yake ya Utekaji,ubakaji,ulawiti,mauaji na kurekodi wapinzani wa serikali video za uchi ndo kumechangia CCM kuchukiwa.
View attachment 3375042
Waambie ukweli Hawa machawa uchwara na wapumbavu sana hawajitambui kabisa!Hali sio nzuri Kwa CCM, Yaani CCM ya enzi za JK ndo inarudi upya. Yaani chama hakipendwi, kinachukiwa aswa. CCM ili wafanye mkutano mpaka Shule zifungwe watu wabebwe na punda,mikokoteni na malori ndo watapata watu.