Kulikoni mbona CCM ya Sasa hivi inaelekea kuwa CCM ya 2015 kurudi nyuma

Muongozaji wa tamthilia hii mbaya yupo Msoga akibadili badili muswaada 😡
 
Kama haikuhusu achana nayo bwana ganya yako yanayokupa maisha wewe vipi bwana,unatuchosha!!
 
Wezi ni wengi mateso ya lisu sasa ni Neema na utajiri kwa Amos makala mbowe chawaccm na chauma ubwabwa, pesa zinapigwa kama upepo
 
Wamekuwa exposed sana, so wame revert to mbinu za kiimla, kutumia nguvu sana na jamii zenyewe wanazolenga ni hizo ambazo hazijelewo
 
Iko kwenye mayday mayday SOS.. T 107 TZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…