Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Kulikoni CHAUMA na ACT kipi kimewakasilisha?
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Kulikoni CHAUMA na ACT kipi kimewakasilisha?