Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Ayatollah Zitto kavimba mashavu.Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Kulikoni CHAUMA na ACT kipi kimewakasilisha?
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Kulikoni CHAUMA na ACT kipi kimewakasilisha?
Au sioKwani bila reform kutakuwa na uchaguzi au Ccm wanachukuwa wanaweka waah tu?
Kutoka CCM kwenda ChaumaKwa ufupi sana ni kwamba waliotegemea watahamia kwao(Malaya wa kisiasa) kutoka Chama kile, ndo basi tena
Wamebinya mapumbu wanatamani Chadema hasishiriki uchaguziAyatollah Zitto kavimba mashavu.
- Je unaweza kututajia chanzo; au weka screenshot ili tuweze kujionea "Puvu"Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Sema suu- Je unaweza kututajia chanzo; au weka screenshot ili tuweze kujionea "Puvu"
We ukilala ukiamka unawaza CHAUMMA, ACT. Umesahau hata NRNE, umesahau M'kiti yuko lupangoSiasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza CHAUMA na ACT, wametoa povu hatari, wameonekana kununa,kuchukia na kutoa post za upotoshaji.
Kulikoni CHAUMA na ACT kipi kimewakasilisha?
KaribuWe ukilala ukiamka unawaza CHAUMMA, ACT. Umesahau hata NRNE, umesahau M'kiti yuko lupango
πππ Uchaguzi mwezi wa 9Katiba inatamka kwamba Bunge likishavunjwa inatakiwa ndani ya siku 90 uchaguzi Mkuu ufanyike. Raisi angevunja Bunge Jana 27/6/2025 ingetakiwa Hadi 27/09/2025 uchaguzi uwe umefanyika.
Mengi mnayoongea humu ni speculations na mawazo binafsi. Wakati utakapofika mtajishangaa.
Why wachukue fomu mwezi wa 8?Hakuna tena shughuli za bunge maana MH. Ameshasitisha na mwezi wa nanne huko watu wanachukua fomu rasmi na majimbo yanakuwa wazi rasmi
Kiufupi Bunge limefunjwa Kam utaratibu wa kawaida unavyotaka, tusubiri kuona katika gazeti la serikali kwa taarifa rasmi na taratibu zinavyotaka
Unataka kutushawishi kwa kusoma kifungu au ibara moja tu ya katiba?Katiba inatamka kwamba Bunge likishavunjwa inatakiwa ndani ya siku 90 uchaguzi Mkuu ufanyike. Raisi angevunja Bunge Jana 27/6/2025 ingetakiwa Hadi 27/09/2025 uchaguzi uwe umefanyika.
Mengi mnayoongea humu ni speculations na mawazo binafsi. Wakati utakapofika mtajishangaa.
WameumiaUnataka kutushawishi kwa kusoma kifungu au ibara moja tu ya katiba?