Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Action speak louder than words.Sahivi hawaongei sana kuongea walishaongea sana , sahivi wanatenda tu wewe toka nenda kafanye hayo unayotarajia kuyafanya utakachokutana nacho itakua funzo kwa Mama yako , ataonya kizazi chache kijacho.
Hao wenyewe hawajui kesho yao maana mkeka ukilishuka tuu uhakika wa ukuu wa mikoa na wilaya haupo kwahiyo wapo busy kwa wagangaTutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila
Sasa iv wameanza na jeshi la masheikh😅Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila
Kama kibaka Magoti mpumbavu sanaHao wenyewe hawajui kesho yao maana mkeka ukilishuka tuu uhakika wa ukuu wa mikoa na wilaya haupo kwahiyo wapo busy kwa waganga
Ila chalamila alijisahau sanaWameshagundua Gen Z hawana muda wa ku"dip"
Wenyewe wakiamua wanapiga tu.
Vibaka wanatisha watuKwa sasa mama kabaki na jeshi la mashekhe wanaotishia kuwakata watanzania vichwa
Kwamba huwasikii? Hizi press huzioni? Wanaongea lugha ileile ila kwa mwavuli wa dini.Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji.
Surprise on D9 Loading......Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila
Hongera, inaonekana umefurahishwa sanaSahivi hawaongei sana kuongea walishaongea sana wamemaliza, sahivi wanatenda tu wewe toka nenda kafanye hayo unayotarajia kuyafanya kapige hicho kiberiti utakachokutana nacho itakua funzo kwa Mama yako , ataonya kizazi chake chote kijacho baada ya kuona mfano kupitia wewe nyumbu.
Wanafanya kimyakimya saa hizi. Nenda mitaa ya Dar, yale magari ya polisi yameanza kupiga kambi mfano Buguruni, Ubungo, Uhasibu , kwa mfugale na maeneo mengine, wameanza Jumatatu.Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila
Kwahiyo tar 09 watoke wengine ili mtutumie picha kama hizi?Hongera, inaonekana umefurahishwa sanaView attachment 3504634
Msipo vunja haki za binadamu kuishi picha hizi uwez kuzionaKwahiyo tar 09 watoke wengine ili mtutumie picha kama hizi?
Polisi wamekasimisha jukumu lao kwa wanaharakati uchwara wa Kiislamu wanaofadhiliwa na Abdul kuwakabili waandamanajiTutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.