damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 869
- 922
Wale wale mnaotegemea kutoka kimaisha kwa kupora mali za wenzenu, utakufaa vibaya wewe bwege!!Yaani nafurahi saaaaana nchi kupigwa kiberiti yaaani saana, D9 kiwake Tena,
Wale wale mnaotegemea kutoka kimaisha kwa kupora mali za wenzenu, utakufaa vibaya wewe bwege!!Yaani nafurahi saaaaana nchi kupigwa kiberiti yaaani saana, D9 kiwake Tena,
Tutaanza kula vumbi na hapo ndipo vilio na kusaga meno vitakapoanza Mungu aniweke ili nijionee matokeo ya wasioona mbeleNi kweli una hasira,
Lakini kama unaona ni sawa tu kupiga nchi yako mwenyewe kiberiti na uko proud kabisa, ina maana tatizo lako ni kubwa zaidi.
Isitoshe unatoa credibility kwa vyombo vya dola kutumia nguvu za ziada kwa kigezo cha kupambana na wahalifu.
Alafu umeshajiuliza baada ya nchi kuteketea, ninini hasa utakachokuwa umekipigania?
Mfano wameuona kwa mawaziri waliopigwa chini.Hao wenyewe hawajui kesho yao maana mkeka ukilishuka tuu uhakika wa ukuu wa mikoa na wilaya haupo kwahiyo wapo busy kwa waganga
Kuja kukata vichwa waandamanaji?Ngoja MASHEIK waje
Hata Waite maraika watu tutatoka tuSurprise on D9 Loading......
1. Hali ya hatari
2. Hakuna kutoka nje
3. Internet OFF
4. Njia zote kuzibwa kuanzia sa10 alfajiri
Iliwezekana Ili kura zipigwe kwanza,hiyo 9D madogo watashangaa huo ukatili,na watatulia ndani mileleIla 9D nazan itakuwa ngumu sana kujiorganize maana yaan ile umetoa pua tu unakula chuma
Tarehe 29 iliwezekana kwasababu ya wanajeshi kuwemo barabaran na waandamanaji wakawafanya kama ndio ngao yao
Siyo mtanzania huyoNi kweli una hasira,
Lakini kama unaona ni sawa tu kupiga nchi yako mwenyewe kiberiti na uko proud kabisa, ina maana tatizo lako ni kubwa zaidi.
Isitoshe unatoa credibility kwa vyombo vya dola kutumia nguvu za ziada kwa kigezo cha kupambana na wahalifu.
Alafu umeshajiuliza baada ya nchi kuteketea, ninini hasa utakachokuwa umekipigania?
Ushoga unakusumbua kumbeHawa safari hii kabla ya vyombo vya ulinzi tutaanza nao sisi kwanza...
Tuna wala tigo kwanza then mambo mengine tutawaachia vyombo vya ulinzi
Ila kuua watanganyika kheri na ni Sunnah kwa mnyaaz Mungu?Ni kweli una hasira,
Lakini kama unaona ni sawa tu kupiga nchi yako mwenyewe kiberiti na uko proud kabisa, ina maana tatizo lako ni kubwa zaidi.
Isitoshe unatoa credibility kwa vyombo vya dola kutumia nguvu za ziada kwa kigezo cha kupambana na wahalifu.
Alafu umeshajiuliza baada ya nchi kuteketea, ninini hasa utakachokuwa umekipigania?
Haki haiombwi, Mo29 ilikua ni hatua ya kwanza... Dec 9 itakua ni hatua ya pili na nakuhakikishia maandamano ya amani hata watoto tutawatoa na mabango.Upo sahihi.
Ila unafikiri kuchoma moto na kuharibu miundombinu itasaidia?
Kama aliyeko kwenye madaraka ana backup ya vyombo vya dola, na haipendi hii nchi, huoni ataacha mpaka tuichome yote ndo pengine aamue kutukimbia sasa?
Tutabaki na nini?
Tutapata ajira ngapi baada ya hapo?
Tuna uhakika gani na viongozi watakaokuja baadae, ambao sasa hivi tunaona wapo upande wetu?
Ila kuua watanganyika kheri na ni Sunnah kwa mnyaaz Mungu?
Mwanaume jasiri ukimkitisha unampa hamasa ya kutekeleza alichokusudia. Wamegundua hicho ndo maana wako kimya.Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila