Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Huyu Abdul kuna wakati naona kama anapewa ukubwa asiokuwa nao. Muda ni Hakimu mzuri ukweli utafahamika.Polisi wamekasimisha jukumu lao kwa wanaharakati uchwara wa Kiislamu wanaofadhiliwa na Abdul kuwakabili waandamanaji
Wachache sana haoHongera, inaonekana umefurahishwa sanaView attachment 3504634
Wanaogopa kutolewa kafara au kuangushiwa jumba bovu na bi mkubwa kwenye kesi inayomkabiliTutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona.
Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji.
Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa jeshi la polisi lilivyojipanga hakuna atakae Toka"
Yule DC wa kisalawe Magoti alifikia hatua ya kutisha waandamanaji kuwa atakayendamana kisalawe atavunjwa miguu.
Cha kushangaza watu walitoka, na nchi ilipigwa kiberiti haijawai tokea
Sahivi tuna siku kama 20 kuelekea D9 hakuna kiongozi yeyote aliyenyanyua mdomo kutisha waandamanaji. Chalamila kimya,Muliro kimya,Magoti sijui amejificha wapi, kina RPC na RC wote wameufyata.
Serikali get ready for Rematch,ya D9
We are coming.
Ione
Nkunda
Wambura
Chalamila
Bahati mabaya wameferiHuyu Abdul kuna wakati naona kama anapewa ukubwa asiokuwa nao. Muda ni Hakimu mzuri ukweli utafahamika.
Nakuhakikishia serikali imepanic vibaya mno hawatoua watu nakuambiaIla 9D nazan itakuwa ngumu sana kujiorganize maana yaan ile umetoa pua tu unakula chuma
Tarehe 29 iliwezekana kwasababu ya wanajeshi kuwemo barabaran na waandamanaji wakawafanya kama ndio ngao yao
Hii ndo nzuri coz serikali inapoteza mapato na unafanya Tanzania iwe sehemu hatari kutembelea so watakosa watalii na uwekezaji, binafsi natamani wafanye hivyoooSurprise on D9 Loading......
1. Hali ya hatari
2. Hakuna kutoka nje
3. Internet OFF
4. Njia zote kuzibwa kuanzia sa10 alfajiri
Yasije yakawa mambo ya Jeshi litawasapoti halafu watu wameuawa.Nakuhakikishia serikali imepanic vibaya mno hawatoua watu nakuambia
Yaani nafurahi saaaaana nchi kupigwa kiberiti yaaani saana, D9 kiwake Tena,Ni kweli una hasira,
Lakini kama unaona ni sawa tu kupiga nchi yako mwenyewe kiberiti na uko proud kabisa, ina maana tatizo lako ni kubwa zaidi.
Isitoshe unatoa credibility kwa vyombo vya dola kutumia nguvu za ziada kwa kigezo cha kupambana na wahalifu.
Alafu umeshajiuliza baada ya nchi kuteketea, ninini hasa utakachokuwa umekipigania?
Sas jamani si watuache tusherehekee sikuu ndio watufungie ndani?😂Surprise on D9 Loading......
1. Hali ya hatari
2. Hakuna kutoka nje
3. Internet OFF
4. Njia zote kuzibwa kuanzia sa10 alfajiri
Mawazo yako yananoga zaidi yakikutana na anayesema natamani waingie barabarani na fujo zao tuwanyooshe. Hapati faida atakayeingia barabarani wala atakayewazuia zaidi ya hasara. Tusiendeshwe na mihemko.Yaani nafurahi saaaaana nchi kupigwa kiberiti yaaani saana, D9 kiwake Tena,
Tume print kabisaaKwahiyo tar 09 watoke wengine ili mtutumie picha kama hizi?
Sawa.Yaani nafurahi saaaaana nchi kupigwa kiberiti yaaani saana, D9 kiwake Tena,
Asilimia kubwa ya vijana wanaendeshwa na mihemko. Ingawa ni changamoto za kiumri na kimalezi, ila iko hatari mbele na hawana hekima ya kuiona.Mawazo yako yananoga zaidi yakikutana na anayesema natamani waingie barabarani na fujo zao tuwanyooshe. Hapati faida atakayeingia barabarani wala atakayewazuia zaidi ya hasara. Tusiendeshwe na mihemko.
Wewe jamaa unaogopa kufa wakati ulizaliwa Khaa wanaokufa usingizini waliandamana!? Acha kutisha watu... Hadi Mtu malize woteSahivi hawaongei sana kuongea walishaongea sana wamemaliza, sahivi wanatenda tu wewe toka nenda kafanye hayo unayotarajia kuyafanya kapige hicho kiberiti utakachokutana nacho itakua funzo kwa Mama yako , ataonya kizazi chake chote kijacho baada ya kuona mfano kupitia wewe nyumbu.
Unajua mateso ya mwendokasi wewe lakini halafu nchi imetumia billions of money halafu hakuna hudumaAsilimia kubwa ya vijana wanaendeshwa na mihemko. Ingawa ni changamoto za kiumri na kimalezi, ila iko hatari mbele na hawana hekima ya kuiona.
Hawajui ni kodi kiasi gani baba zao wamelipia kufikisha nchi apa, ukiachana na zilizoliwa. Wako tayari tu kuharibu sijui akili za wapi hizi!
🤣 ni mwezi uliopita tu nmeumia mgongo kwenye mwendo kasi.Unajua mateso ya mwendokasi wewe lakini halafu nchi imetumia billions of money halafu hakuna huduma
Michirizi ya damu nchi ya amani na upendo? 9D lazima kun'goa hawa madhalimu wasiokua na chembe ya utu.Hongera, inaonekana umefurahishwa sanaView attachment 3504634