PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ile voice note ya HABIL ni Nani awezaye kutoa tena tamko?
Mipango inayoendelea Huko duniani juu ya mauaji ya October 29 hakuna kiongozi Tanzania hii anaweza kutoka hadharani......
 
Ukifikiria kwa undani utajiona ulivyofikiri kwa kiwango cha chini...

Hivi unaona namna gani taifa linazalisha nguvu kazi isiyo na kazi (toka 2015 hakuna ajira, na mazingira ya kujiajiri yanazidi kuwa magumu kila uchwao) na kibaya zaidi huduma za kijamii kuwa mbaya kila siku huku watu wanaiba waziwazi.

Hata kabla ya mo29 hii nchi anguko lake lipo njiani kama hizi takataka hazitatolewa na kutengeneza nchi ambayo ufanisi na uwajibikaji ni kipaumbele
 
Hivi yule DC magoti yupo duniani?maana sijawahi kumsikia tena
 
Wamegundua kazi wanaweza kufanya masheikh ubwabwa bila gharama kubwa kwa serikali
 
Hakuna matamko, hakuna kelele ila nikuhakikishie hawajalala! Utaandamana ila hautashinda! Kama kujifunza watawala wameshajifunza! Wanakuja na mabadiliko. Hutaki hiyo siku tokea uwe chakula Cha risasi!
Nb .
Kumtoa maza sahau.
 
Kwa sasa mama kabaki na jeshi la mashekhe wanaotishia kuwakata watanzania vichwa
Na wanasema wamejipanga. Huenda ameishawapa bunduki za kufanyia kazi. Sasa hivi nchi inaongozwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Wewe jamaa unaogopa kufa wakati ulizaliwa Khaa wanaokufa usingizini waliandamana!? Acha kutisha watu... Hadi Mtu malize wote
Toka leo ujishindie mazishi ya bure kama kweli unamaanisha kuwa upo tayari kufa.

Sahivi hawacheki na nyumbu
 
Upo sahihi.
Ila unafikiri kuchoma moto na kuharibu miundombinu itasaidia?

Kama aliyeko kwenye madaraka ana backup ya vyombo vya dola, na haipendi hii nchi, huoni ataacha mpaka tuichome yote ndo pengine aamue kutukimbia sasa?
Tutabaki na nini?
Tutapata ajira ngapi baada ya hapo?
Tuna uhakika gani na viongozi watakaokuja baadae, ambao sasa hivi tunaona wapo upande wetu?
 
Nakuhakikishia serikali imepanic vibaya mno hawatoua watu nakuambia
Sio Tanzania hiyo.
Tanzania UTAKUFA TU na hizo jumuiya za kimataifa mnazozitegemea hazitawasaidia kwa lolote.
WITO WANGU..... AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA KIDOGOOO NA ZAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…