PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe tare 9 Toka , watakutishia tu , hawana sumu.
 
SISI TUNASHANGAA NYINYI MNA HASIRA NA JEURI YA KUINGIA BARABARANI,IWEJE MKAE MSUBIRIE HADI DECEMBER?
UNATAKA SERIKALI ICHEZE NGOMA YAKO?MLICHOKIPATA OCTOBER HIYO DECEMBER ITAKUWA EVENT TO REMEMBER...
 
Tutaanza kula vumbi na hapo ndipo vilio na kusaga meno vitakapoanza Mungu aniweke ili nijionee matokeo ya wasioona mbele
 
Hao wenyewe hawajui kesho yao maana mkeka ukilishuka tuu uhakika wa ukuu wa mikoa na wilaya haupo kwahiyo wapo busy kwa waganga
Mfano wameuona kwa mawaziri waliopigwa chini.
Tukana, piga mikwara raia halafu Decemba unapigwa chini ukuu wa mkoa au wilaya.
 
Mara paap wakakaa kimya mpaka December 8 wakasema kesho kila mtu atulie ndani. mtatoka kweli vijana 😅???
 
09/12/1961 ni siku inayotambulika kitaifa na kimataifa kuwa siku muhimu ya kupata uhuru wa Tanganyika. Maandamano siku hiyo kwa miaka yote isipokuwa miaka miwili mitatu iliyopita yamekuwa yakiandaliwa na Dola ikiwemo hotuba na gwaride.

Kwa mwaka huu 09/12/2025 Gen Z wamejiandaa kusherehekea siku hiyo muhimu ikiwemo kuomboleza vifo vya wenzao vilivyofanywa na wenye mamlaka....
Sioni ni kwa vipi nguvu ya Dola inavyoweza kuhahalishwa hapa kwa kuzuia maandamano halali zaidi ya kutoa ulinzi kwa waandamanaji.
 
Ila 9D nazan itakuwa ngumu sana kujiorganize maana yaan ile umetoa pua tu unakula chuma

Tarehe 29 iliwezekana kwasababu ya wanajeshi kuwemo barabaran na waandamanaji wakawafanya kama ndio ngao yao
Iliwezekana Ili kura zipigwe kwanza,hiyo 9D madogo watashangaa huo ukatili,na watatulia ndani milele
 
Siyo mtanzania huyo
 
Ila kuua watanganyika kheri na ni Sunnah kwa mnyaaz Mungu?
 
Haki haiombwi, Mo29 ilikua ni hatua ya kwanza... Dec 9 itakua ni hatua ya pili na nakuhakikishia maandamano ya amani hata watoto tutawatoa na mabango.

Nigeria yenyewe yenye watu mara 3 yetu na ipo kwenye top 10 ya majeshi yenye nguvu inakadiriwa kuwa na wanajeshi 230,000+ sembuse haka kanchi kadogo??

Dola yenyewe imegawanyika, kama anajiamini aache kufungia wanajeshi, hao polisi tupo nao mtaani, itafika hatua familia zao zitaanza kuuliwa.. unafikiri wataendelea kufanya huu ujinga???

Hii nchi lazima ianguke kabla haijasimama, itaanguka kiasi gani? sote hatujui, ila kadiri anavyozidi kukaza shingo na anguko linaenda kuwa kubwa zaidi.

Siku hiyo kimara tu ikajaa watu mpaka magomeni hakuna kwa kutema mate, hakuna chombo cha usalama uchwara cha kuua hao raia.

Hakuna mwenye uhakika wa kesho, ila uhalisia ni kwamba tukibalisha huu upumbavu, wataibuka viongozi wapya wa kutuvusha na watatuheshimu hata kama tutachukua muda.

Ila tukiendelea hivi, ni swala la muda kabla hatujawa North Korea, sisi milioni 70 ni wapumbavu kiasi hicho kuacha kizazi cha sasa na vingi vijavyo viteseke eti kwa sababu "HATUNA UHAKIKA AJIRA ZITAKUA NGAPI?" tafuta sababu zenye mashiko
 
Mwanaume jasiri ukimkitisha unampa hamasa ya kutekeleza alichokusudia. Wamegundua hicho ndo maana wako kimya.
Wengine walikuwa wafuata mkumbo tu wa matamko.
 
GOOD SLAVE ANAWEZA KUWA BAD MASTER KAMA FIRE🔥

FIRE CAN BE A GOOD SAVER BUT A BAD MASTER.....MOTO USIPO BE CONTROLLED 🎮 UTAKUTA NYUMBA IMEUNGUA, MTOTO AMEUNGUA ILA UKI MANAGE FIRE UTAPIKIA, UTAPATA JOTO... TUNA CHA KUJIFUNZA..
 
Aliyekatwa hicho kidole ulisha mwona?
Toy finger hiyo kwa ajili ya ku justify mauaji. Say no to terrorism in tz. Terrorists must go back to their country Zanzibar gallow bird
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…