Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 664
- 1,048
Ukiwa kama Makamu Mwenyekiti, Chama kimezindua Mikutano ya hadhara kwenye siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Chama chenu lakini hujasema chochote kukitakia Chama heri na mafanikio.
Hujaposti chochote kwenye ukurasa wako wa twitaa kuhusu kilichojili Mwanza. Aidha Godbless Lema nae ukimya wake kwa mkutano wa Mwanza Kuna walakini.
Lema mpenda twita sio wa kutokupost mkutano mkubwa wa chadema Mwanza.