Kulikoni Tundu Lissu hajaweka chochote mtandaoni kuhusu kumbukizi ya kuanzishwa kwa CHADEMA?

Kulikoni Tundu Lissu hajaweka chochote mtandaoni kuhusu kumbukizi ya kuanzishwa kwa CHADEMA?

Ukiwa kama Makamu Mwenyekiti, Chama kimezindua Mikutano ya hadhara kwenye siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Chama chenu lakini hujasema chochote kukitakia Chama heri na mafanikio. Hujaposti chochote kwenye ukurasa wako wa twitaa kuhusu kilichojili Mwanza. Aidha Godbless Lema nae ukimya wake kwa mkutano wa Mwanza Kuna walakini. Lema mpenda twita sio wa kutokupost mkutano mkubwa wa chadema Mwanza.

Yuko safarini
 
Ni muda muafaka Mbowe kukaa pembeni Kwa maslahi ya Chadema hai.
 
Nilisema mda sana, Mbowe has to rest, watu mkasema eti Mbowe is irreplaceable. Mtu ukikaa semehu moja miaka miki akili inakuwa na unyafuzi fulani hivi, hauwi productive tena na ndio maana hata wafanyakazi wengi huwa wanabadilishwa vituo vya kazi ili kuongeza ari na kuleta ulaksi mpya.

Mbowe atafute mrithi apumzike.
 
Siasa zetu zimepevuka sana,

Je Mbowe atawazidi uhuni wahuni?

Nakaa paleee natafakari.
 
Back
Top Bottom