Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?

Miaka kadhaa iliyopita changamoto ilikuwa serikali haijapeleka fedha stahiki MSD. Serikali ilikuwa na deni kubwa sana ambalo - ilitakiwa kulilipa ili MSD iweze kuwa na fedha za kutosheleza uhitaji/maoteo ya vituo vya tiba

pamoja na deni, kulikuwa na ucheleweshaji wa kutume fedha kutoka serikali kwenda MSD

Mavere ana kazi kubwa sana, utokapo sekta binafsi kwenda serikali, yabidi uwajengee hamasa unaowaongoza ili waendane na kasi yako unayoiwaza, endapo hawatafwatana na wewe (team work) lazima mfumo ukwame.
 
Samia kafanya kazi yake,kama Rais kahakikisha pesa ya kutosha ya kununulia dawa imepelekwa MSD.Hizo so called 'mobile pharmacy' zinachangiwa na uzembe na kukosa weledi kwa baadhi ya watendaji ambao implied wanamuhujumu huku wakijua muda wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025 ni sasa,hii haikubaliki
Mbona mtangulizi wake hakihujumiwa?
 
Si kuna viongozi wa MSD wapya wametuliwa hata mwezi ofisini hawajamaliza, hapana bana - yawezekana dawa zenyewe haziko tu.
 
mavere kapewa msd ambayo haina pesa,msd hawajalipwa madeni yake sawia na serikali, bado ina madeni makubwa mzigo mkubwa, hata hicho kiwanda pesa ya kuendesha hazipo, hazina wakichukue kiwanda. serikali waewe serious waache siasa za kufukuzafukuza msd, bodi ya msd na waziri ummy wekeni wazi mzigo wa msd ili ile taasisi ipewe fedha za kujiendesha
 
Ni hivi majuzi, katika ukumbi wa MAELEZO, tumetangaziwa kuwa Serikali ya Rais Samia imetoa TZS 57 Billion katika robo ya kwanza ya mwaka 2022/23 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya vya Umma. Kwa hakika hicho ni kiasi kikubwa na cha kutosha ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa za kutosha.

Hata hivyo, hali ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali na vituo vya afya vya umma inazidi kuwa mbaya. Hali hii inatokana na utendaji mbovu(Poor Perfornance) ya Uongozi wa MSD kuliko hata kipindi cha uongozi wa Afande General Mhidze au wakati wa Laurean Bwanakunu. Hospitali na vituo vya afya vya umma ndio tegemeo kubwa la watanzania masikini ambao hawawezi kumudu gharama za tiba katika vituo binafsi na utendaji mbovu wa MSD ndo unachangia hali mbaya ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya vya umma, kwa kuanzia nitagusia maeneo machache yafuatayo ambayo aidha kwa makusudi au kwa sababu ya uwezo mdogo wa Mkurugenzi Mkuu Mr Tukai Mavere, Rais Samia anahujumiwa kama ifuatavyo:

1. KUCHELEWA KWA MAAMUZI HAPO MSD KUTOKANA NA KUKOSEKANA KWA SAFU YA UONGOZI
Maamuzi muhimu hapa MSD yanafanywa na mtu Mmoja(ONE MAN SHOW) Mkurugenzi Mkuu Mr. Tukai Mavere hivyo kuchelewesha maamuzi muhimu ambayo yanapelekea ucheleweshaji wa decisions ikiwemo kusainiwa kwa mikataba ya manunuzi ya dawa. Mr. Mavere tangu aingie ofisini amekuwa kiguu na njia yupo safarini huku akitembea na ofisi bila kukaimisha mtu yeyote, kwa sababu anazozijua yeye pengine kutoamini safu ya uongozi imayokaimu nafasi mbalimbali za ukurugenzi. Hiyo ni kinyume na sheria na kanuni za utumishi wa umma ambapo kiongozi hatakiwi ku-personalize ofisi za umma pengine hii inatokana na ukweli kwamba Mkurugenzi Mkuu Mr. Mavere ametokea kwenye ka-NGO ka watu wachache na hana uzoefu na Corporate au Public Management, lkn anapaswa kujifunza.

KIBAYA ZAIDI, NAFASI ZA WAKURUGENZI ZIMETANGAZWA KUPITIA MCHAKATO WA SEKRETARIAT YA UTUMISHI WA UMMA(PSRS) tangu July-2022 lakini hadi leo hakuna kinachoendelea. Kuna Tetesi kuwa Mr. Mavere anafanya juhudi ku-frustrate mchakato huo ili alete washikaji zake kupitia dirrisha dogo baada ya kuona vigezo vya PSRS vinawatema. PSRS ni Taasisi inayoheshimika ya umma hivyo inatakiwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati bila kubugudhiwa.

MY TAKE: Niliwahi kushauri huko nyuma kuwa zoezi la ku-overhaul MSD ilikuwa ni order ya Rais which is good as PRESIDENTIAL DECREE hivyo si vema akaachiwa Mr. Mavere peke yake ku-impliment order hiyo kwani angeishia kuleta washikaji zao kitu ambacho kinaendelea sasa hivi hapo MSD. NASHAURI TENA SERIKALI KUPITIA CHIEF SECRETARY ISIMAMIE UPATIKANAJI WA WAKURUGENZI KWA HARAKA NA KWA UWAZI KUPITIA PSRS. Cha kushangaza, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alitoa deadline ya 30th September, 2022 MSD iwe imepata safu mpya ya uongozi, lakini Mr Mavere hajali na hiyo nadhani it amounts to insubordination ya waziri Ummy

2. KUTELEKEZWA KWA KIWANDA CHA UZALISHAJI DAWA HUKO IDOFI-NJOMBE IRINGA:
Pamoja na mapungufu ya DG aliyepita wa MSD Major General Mhidize ,bado alikuwa na maono ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneneza dawa ili kujazia pengo la upatikanaji wa dawa kutoka nje ya nchi ambapo mlolongo wake ni mrefu sana. Hata hivyo, uendelezaji wa kiwanda hicho kilichokuwa kimefikia hatua ya kuanza uzalishaji umekuwa frustrated na uongozi wa Mr. Mavere na Mashine zinaishia kupata kutu na hivyo huenda serikali ikaingia hasara kubwa kutokana na uwekezaji mkubwa uliokwisha fanya na serikali eneo hilo.

MY TAKE: Nashauri serikali kupitia wizara ya afya, isimamie kuhakikisha kiwanda hicho kinaanza kufanya kazi ili kupunguza ukosefu wa dawa katika Hospitali na vituo vya afya vya umma

3.TEUZI NA TRANSFERS ZISIZO NA TIJA ZINAZOFANYWA NA MR. MAVERE:
Tangu ameshika hatamu hapo MSD, Mr Mavere amekuwa akifanya teuzi na staff transfers ambazo zinazingatia ushikaji na hazina tija kwa MSD na kwa mustakabali wa upatikanaji wa dawa kwa Taifa kupitia utendaji wa MSD. Eneo korofi ni eneo lolote linalogusa manunuzi kwani inaonekana amapania kuweka washikaji ili aweze kupiga dili zake vizuri kupitia manunuzi, nitatoa mifano michache kama ifuatavyo:

(a) Alimteua Mr.Mkama Mbuguma kukaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Manunuzi ilihali akijua ni very junior na incompetent. Hapa JF, tulishauri kuwa hapo amekosea lakini akatupuuza na tukaonekana tunapiga fitna kilicho kuja kutokea ni aibu kwani alitaka kumtumia Mr. Mkama kutoa tenda ya 10 Billion kwa mtu ambaye hakushinda tenda na wala hakupitishwa na tenda bodi, kinyume na Sheria na Kanuni za Manunuzi ya Umma (Public Procurement Act and Regulations) kupitia fake and unprocedural negotiations ambapo iliishia PCCB na hatimaye Mamlaka ya rufaa za Zabuni PAA (Procuremen Appeals Authority) ikatengua Maamuzi feki ya Mr. Mavere na wapambe wake. Baada ya kuona ameangukia pua, ndo akatoka usingizi akamtoa Mr. Mkama Mbuguma kwa kuchelewa na kaleta mwingine kukaimu ukurugenzi wa manunuzi ambaye nae hana uwezo kama Mkama yupo very slow and indecisive. As a well wisher, Nakushauri tena Mr. Mavere hakikisha unapata competent Director wa Procurement kupitia njia za wazi huko PSRS kuliko unavyozunguka zunguka ku-frustrate process ya recruitment ya directors

b) Kwa hasira baada ya kuona mpango wake wa kuwapa tenda washikaji zake umeshindwa hapo (a) juu, kamuhamishia nje ya taasisi Mr. Frankie Nkone aliyekuwa Mwenyekiti wa Tender Board ili amuweke Mshikaji wake MR Michael Bajile - Kaimu Meneja wa Maoteo (Quantification) ambaye ameingizwa MSD kimichongo hivi karibuni kutoka kwenye NGO na ni junior na hata uzoefu wowote na Public Procurement. Amefanya uteuzi huo wa mwenyekiti wa MSD Tender Board bila kujali kuwa hapo kuna mgongano wa masilahi(Conflict of Interest) kwani Mr. Michael Bajile ndio anaanzisha mchakato wa manunuzi (Quantification) halafu yeye mwenyewe anahamia upande wa pili wa Tender Board kama Mwenyekiti anaenda tena kupitisha Manunuzi hivyo ku-defeat dhana nzima ya administrative control ya internal check and balance katika utumishi wa umma. Pamoja na Mr. Mavere kuweka pandakizi lake ili apate mteremko asipatwe tena na kadhia ya procurement iliyokumkuta majuzi ya PAA, nashauri TAKUKURU watupie macho jambo hilo kabla mambo hayajaharibika zaidi. Besides, Kuna taarifa kuwa hata Kaimu Mwanasheria wa MSD (Ag.Legal Counsel) yupo mbioni kuondolewa baada ya kuonekana yupo strict na ni mwiba mchungu kwa Mr. Mavere ambaye anataka tenda zitolewe kwa matakwa yake na genge lake.

MY TAKE: Kutokana na mifano hiyo hapo juu, Chief Secretary na Waziri Ummy na watendaji wako wa wizara ya Afya mnashauriwa ku-exercise your oversight role ili kuhakikisha MSD inarudi katika ubora wake na siyo kuzidi kutumbukia shimoni kwa sababu ya vitendo vya mtu mmoja (One Man Show acts). To the expense of watanzania wengi ambao ni masikini na wanaotegemea MSD katika upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vya kutolea huduma za afya katika hospitali na vituo vya afya vya umma. Hiyo kazi siyo lazima ifanywe na His Excellency SAMIA SULUHU HASSAN, tumuachie yeye a-deal na matatizo makubwa ya upatikanaji wa Maji na Umeme na mengineyo, yeye alishafanya kazi yake ya kuhakikisha MSD inapata pesa kutokana na budget iliyopangiwa.

Nawasilisha
uongozi wa MSD, laana ya Eric Mapunda itawasumbua sana.
 
Rudi kwenye details za Mleta Mada usimtetee Mr Mavere hata kwenye mambo yaliyoko wazi,Je kushindwa kupanga safu ya Uongozi kwa kukamilisha RECRUITMENT YA DIRECTORS nayo inatokana na ukosefu wa pesa? katangaza mwenyewe and it is on record pale MAELEZO kuwa MSD imepewe TZS Billion 57 za kununulia dawa,Je hiyo TZS 57 itanunuaje dawa bila mikataba(Procurement Contracts) kusainiwa kwa wakati,wakati mwenyewe Mavere ni kiguu na njia na ofisi anatembea nayo,pathetic
 
hakuna cha laana wala nini, bodi mpya wawe wazi msd hali yake mbaya, mzigo wa madeni wa miaka mingi walipwe wapewe mtaji wa kujiendesha kihalisia
 
Rudi kwenye details za Mleta Mada usimtetee Mr Mavere hata kwenye mambo yaliyoko wazi,Je kushindwa kupanga safu ya Uongozi kwa kukamilisha RECRUITMENT YA DIRECTORS nayo inatokana na ukosefu wa pesa? katangaza mwenyewe and it is on record pale MAELEZO kuwa MSD imepewe TZS Billion 57 za kununulia dawa,Je hiyo TZS 57 itanunuaje dawa bila mikataba(Procurement Contracts) kusainiwa kwa wakati,wakati mwenyewe Mavere ni kiguu na njia na ofisi anatembea nayo,pathetic

Wewe na Mtoa mada mtakuwa mmekosa nafasi. Hasira unazileta JamiiForums.
Narudia tena MSD inakwama kwa majungu. Badala ya kufanya kazi mnaleta majungu mitandaoni. Kwenye kila Uongozi kuna watu kama nyie mnakuja kuleta majungu na haya mambo yanaanzia ngazi za juu.
MSD ni taasisi hopeless na sio sehemu sahihi ya kukuza utaalam, ni majungu na tamaa ya vyeo, mkikosa mnakuja mitandaoni. Ishu ya Rushwa kuna vyombo husika.kama kweli anakula rushwa pelekeni tuhuma pccb, rushwa ipo mpaka magogoni , wewe unashangaa msd , rushwa ipo mpaka TAKUKURU, Wewe unashangaa msd . Fanya kazi acheni umbea watu wa msd. Matatizo yenu hayatoweza kwisha. Kwa miaka 3 mmeshabadili ma dg wengi , na kila kiongozi anakuja timu yake anayoiamini. Mbona hiz mambo hatusikii huko Ewura, TCRA ,
Hata mwaka bado mmeshaanza kumnanga kiongozi wenu. msd ni kama wana wa Israel, wanavitimbi na hila kila kukicha na kazi hawafanyi. Kazi yenu ni majungu na umbea na cheo fulan kapewa nani . CEO wabaini hawa watu haraka na uwapeleke nje ya miji wakafanye kazi. Hawa ni watu wako wa ndani na ni sabotage ya chini chini
 
Ni hivi majuzi, katika ukumbi wa MAELEZO, tumetangaziwa kuwa Serikali ya Rais Samia imetoa TZS 57 Billion katika robo ya kwanza ya mwaka 2022/23 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba katika hospitali na vituo vya afya vya Umma. Kwa hakika hicho ni kiasi kikubwa na cha kutosha ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa za kutosha.

Hata hivyo, hali ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali na vituo vya afya vya umma inazidi kuwa mbaya. Hali hii inatokana na utendaji mbovu(Poor Perfornance) ya Uongozi wa MSD kuliko hata kipindi cha uongozi wa Afande General Mhidze au wakati wa Laurean Bwanakunu. Hospitali na vituo vya afya vya umma ndio tegemeo kubwa la watanzania masikini ambao hawawezi kumudu gharama za tiba katika vituo binafsi na utendaji mbovu wa MSD ndo unachangia hali mbaya ya upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya vya umma, kwa kuanzia nitagusia maeneo machache yafuatayo ambayo aidha kwa makusudi au kwa sababu ya uwezo mdogo wa Mkurugenzi Mkuu Mr Tukai Mavere, Rais Samia anahujumiwa kama ifuatavyo:

1. KUCHELEWA KWA MAAMUZI HAPO MSD KUTOKANA NA KUKOSEKANA KWA SAFU YA UONGOZI
Maamuzi muhimu hapa MSD yanafanywa na mtu Mmoja(ONE MAN SHOW) Mkurugenzi Mkuu Mr. Tukai Mavere hivyo kuchelewesha maamuzi muhimu ambayo yanapelekea ucheleweshaji wa decisions ikiwemo kusainiwa kwa mikataba ya manunuzi ya dawa. Mr. Mavere tangu aingie ofisini amekuwa kiguu na njia yupo safarini huku akitembea na ofisi bila kukaimisha mtu yeyote, kwa sababu anazozijua yeye pengine kutoamini safu ya uongozi imayokaimu nafasi mbalimbali za ukurugenzi. Hiyo ni kinyume na sheria na kanuni za utumishi wa umma ambapo kiongozi hatakiwi ku-personalize ofisi za umma pengine hii inatokana na ukweli kwamba Mkurugenzi Mkuu Mr. Mavere ametokea kwenye ka-NGO ka watu wachache na hana uzoefu na Corporate au Public Management, lkn anapaswa kujifunza.

KIBAYA ZAIDI, NAFASI ZA WAKURUGENZI ZIMETANGAZWA KUPITIA MCHAKATO WA SEKRETARIAT YA UTUMISHI WA UMMA(PSRS) tangu July-2022 lakini hadi leo hakuna kinachoendelea. Kuna Tetesi kuwa Mr. Mavere anafanya juhudi ku-frustrate mchakato huo ili alete washikaji zake kupitia dirrisha dogo baada ya kuona vigezo vya PSRS vinawatema. PSRS ni Taasisi inayoheshimika ya umma hivyo inatakiwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati bila kubugudhiwa.

MY TAKE: Niliwahi kushauri huko nyuma kuwa zoezi la ku-overhaul MSD ilikuwa ni order ya Rais which is good as PRESIDENTIAL DECREE hivyo si vema akaachiwa Mr. Mavere peke yake ku-impliment order hiyo kwani angeishia kuleta washikaji zao kitu ambacho kinaendelea sasa hivi hapo MSD. NASHAURI TENA SERIKALI KUPITIA CHIEF SECRETARY ISIMAMIE UPATIKANAJI WA WAKURUGENZI KWA HARAKA NA KWA UWAZI KUPITIA PSRS. Cha kushangaza, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alitoa deadline ya 30th September, 2022 MSD iwe imepata safu mpya ya uongozi, lakini Mr Mavere hajali na hiyo nadhani it amounts to insubordination ya waziri Ummy

2. KUTELEKEZWA KWA KIWANDA CHA UZALISHAJI DAWA HUKO IDOFI-NJOMBE IRINGA:
Pamoja na mapungufu ya DG aliyepita wa MSD Major General Mhidize ,bado alikuwa na maono ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneneza dawa ili kujazia pengo la upatikanaji wa dawa kutoka nje ya nchi ambapo mlolongo wake ni mrefu sana. Hata hivyo, uendelezaji wa kiwanda hicho kilichokuwa kimefikia hatua ya kuanza uzalishaji umekuwa frustrated na uongozi wa Mr. Mavere na Mashine zinaishia kupata kutu na hivyo huenda serikali ikaingia hasara kubwa kutokana na uwekezaji mkubwa uliokwisha fanya na serikali eneo hilo.

MY TAKE: Nashauri serikali kupitia wizara ya afya, isimamie kuhakikisha kiwanda hicho kinaanza kufanya kazi ili kupunguza ukosefu wa dawa katika Hospitali na vituo vya afya vya umma

3.TEUZI NA TRANSFERS ZISIZO NA TIJA ZINAZOFANYWA NA MR. MAVERE:
Tangu ameshika hatamu hapo MSD, Mr Mavere amekuwa akifanya teuzi na staff transfers ambazo zinazingatia ushikaji na hazina tija kwa MSD na kwa mustakabali wa upatikanaji wa dawa kwa Taifa kupitia utendaji wa MSD. Eneo korofi ni eneo lolote linalogusa manunuzi kwani inaonekana amapania kuweka washikaji ili aweze kupiga dili zake vizuri kupitia manunuzi, nitatoa mifano michache kama ifuatavyo:

(a) Alimteua Mr.Mkama Mbuguma kukaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Manunuzi ilihali akijua ni very junior na incompetent. Hapa JF, tulishauri kuwa hapo amekosea lakini akatupuuza na tukaonekana tunapiga fitna kilicho kuja kutokea ni aibu kwani alitaka kumtumia Mr. Mkama kutoa tenda ya 10 Billion kwa mtu ambaye hakushinda tenda na wala hakupitishwa na tenda bodi, kinyume na Sheria na Kanuni za Manunuzi ya Umma (Public Procurement Act and Regulations) kupitia fake and unprocedural negotiations ambapo iliishia PCCB na hatimaye Mamlaka ya rufaa za Zabuni PAA (Procuremen Appeals Authority) ikatengua Maamuzi feki ya Mr. Mavere na wapambe wake. Baada ya kuona ameangukia pua, ndo akatoka usingizi akamtoa Mr. Mkama Mbuguma kwa kuchelewa na kaleta mwingine kukaimu ukurugenzi wa manunuzi ambaye nae hana uwezo kama Mkama yupo very slow and indecisive. As a well wisher, Nakushauri tena Mr. Mavere hakikisha unapata competent Director wa Procurement kupitia njia za wazi huko PSRS kuliko unavyozunguka zunguka ku-frustrate process ya recruitment ya directors

b) Kwa hasira baada ya kuona mpango wake wa kuwapa tenda washikaji zake umeshindwa hapo (a) juu, kamuhamishia nje ya taasisi Mr. Frankie Nkone aliyekuwa Mwenyekiti wa Tender Board ili amuweke Mshikaji wake MR Michael Bajile - Kaimu Meneja wa Maoteo (Quantification) ambaye ameingizwa MSD kimichongo hivi karibuni kutoka kwenye NGO na ni junior na hata uzoefu wowote na Public Procurement. Amefanya uteuzi huo wa mwenyekiti wa MSD Tender Board bila kujali kuwa hapo kuna mgongano wa masilahi(Conflict of Interest) kwani Mr. Michael Bajile ndio anaanzisha mchakato wa manunuzi (Quantification) halafu yeye mwenyewe anahamia upande wa pili wa Tender Board kama Mwenyekiti anaenda tena kupitisha Manunuzi hivyo ku-defeat dhana nzima ya administrative control ya internal check and balance katika utumishi wa umma. Pamoja na Mr. Mavere kuweka pandakizi lake ili apate mteremko asipatwe tena na kadhia ya procurement iliyokumkuta majuzi ya PAA, nashauri TAKUKURU watupie macho jambo hilo kabla mambo hayajaharibika zaidi. Besides, Kuna taarifa kuwa hata Kaimu Mwanasheria wa MSD (Ag.Legal Counsel) yupo mbioni kuondolewa baada ya kuonekana yupo strict na ni mwiba mchungu kwa Mr. Mavere ambaye anataka tenda zitolewe kwa matakwa yake na genge lake.

MY TAKE: Kutokana na mifano hiyo hapo juu, Chief Secretary na Waziri Ummy na watendaji wako wa wizara ya Afya mnashauriwa ku-exercise your oversight role ili kuhakikisha MSD inarudi katika ubora wake na siyo kuzidi kutumbukia shimoni kwa sababu ya vitendo vya mtu mmoja (One Man Show acts). To the expense of watanzania wengi ambao ni masikini na wanaotegemea MSD katika upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika vituo vya kutolea huduma za afya katika hospitali na vituo vya afya vya umma. Hiyo kazi siyo lazima ifanywe na His Excellency SAMIA SULUHU HASSAN, tumuachie yeye a-deal na matatizo makubwa ya upatikanaji wa Maji na Umeme na mengineyo, yeye alishafanya kazi yake ya kuhakikisha MSD inapata pesa kutokana na budget iliyopangiwa.

Nawasilisha

Hao watu uliowataja kama wanavigezo kwanin wasipewe hizo nafasi? Hapo ndio unaonesha ulizitaka Wewe
 
Halafu Sekretariati ya ajira ni independent entity, CEO wa taasisi fulan hana uwezo wa kuingililia majukumu ya taasis nyingine . Wewe labda umekosa cheo
 
Wewe na Mtoa mada mtakuwa mmekosa nafasi. Hasira unazileta JamiiForums.
Narudia tena MSD inakwama kwa majungu. Badala ya kufanya kazi mnaleta majungu mitandaoni. Kwenye kila Uongozi kuna watu kama nyie mnakuja kuleta majungu na haya mambo yanaanzia ngazi za juu.
MSD ni taasisi hopeless na sio sehemu sahihi ya kukuza utaalam, ni majungu na tamaa ya vyeo, mkikosa mnakuja mitandaoni. Ishu ya Rushwa kuna vyombo husika.kama kweli anakula rushwa pelekeni tuhuma pccb, rushwa ipo mpaka magogoni , wewe unashangaa msd , rushwa ipo mpaka TAKUKURU, Wewe unashangaa msd . Fanya kazi acheni umbea watu wa msd. Matatizo yenu hayatoweza kwisha. Kwa miaka 3 mmeshabadili ma dg wengi , na kila kiongozi anakuja timu yake anayoiamini. Mbona hiz mambo hatusikii huko Ewura, TCRA ,
Hata mwaka bado mmeshaanza kumnanga kiongozi wenu. msd ni kama wana wa Israel, wanavitimbi na hila kila kukicha na kazi hawafanyi. Kazi yenu ni majungu na umbea na cheo fulan kapewa nani . CEO wabaini hawa watu haraka na uwapeleke nje ya miji wakafanye kazi. Hawa ni watu wako wa ndani na ni sabotage ya chini chini
Jibu hoja za mleta mada,JF siyo sehemu ya mipasho.l

Hata mwaka bado mmeshaanza kumnanga kiongozi wenu. msd ni kama wana wa Israel, wanavitimbi na hila kila kukicha na kazi hawafanyi. Kazi yenu ni majungu na umbea na cheo fulan kapewa nani . CEO wabaini hawa watu haraka na uwapeleke nje ya miji .wakafanye kazi. Hawa ni watu wako wa ndani na ni sabotage ya chini chini
Ndugu punguza jazba kunywa maji kwanza kama una kiu,hapa JF hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kuleta mipasho.Nakukumbusha kuwa mnamo tarehe 17th April,2022 ,ukiwa chawa wa mavere ulikuja na uzi wenye title 'Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai' siye tulikuonya kuwa acha uchawa na usimpe kichwa kwa sifa za kijinga lkn hukutuelewa lakini leo facts zinawekwa mezani unakuja na mipasho baada ya kupanick.Kwa taarifa yako,JF ndo forum sahihi kwa whistle blowers kama sisi wenye nia ya dhati ya kufichua makando kando mbalimbali. Labda nikukumbushe hoja za mleta mada ambazo unatakiwa kuzijibu kwa facts/evidence na siyo kuleta mipasho na mere bare words.Hoja ni kama zifuatazo:
  1. Je Mkurugenzi wa MSD Mr.Mavere hakutangazia Taifa pale MAELEZO kuwa serikali ya SAMIA imeipatia MSD pesa yote ya robo ya kwanza 2022/23 kiasi cha TZS 57 Billion kwa ajili ya manunuzi ya dawa?
  2. Je hakuna uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali na vituo vya Afya vya Umma?
  3. Je MSD kwa sasa ina safu ya uongozi(Menejimenti team) au inaendeshwa na mtu Mmoja(One Man Show) mkurugenzi Mkuu Mr.Mavere ambaye muda mwingi yupo safarini huku akitembea na ofisi bila kufanya juhudi za dhati kuhakikisha zoezi la RECRUITMENT OF MSD DIRECTORS linakamilika ili kutii agizo la Waziri Ummy ambae alitoa deadline ya 30th September,2022 MSD iwe imepata safu mpya ya uongozi,Je deadline hiyo ya Ummy kaileta mleta mada au ni ya kweli?Je huoni kuwa kutokuwa na safu kamili ya uongozi inachelewesha maamuzi haswaa ya manunuzi na usambazaji wa dawa na vifaa tiba? Je kudharau agizo la Waziri Ummy hiyo siyo Insubordination kwa waziri huyo?
  4. Je Mchakato wa manunuzi ya vitendanishi ambao ulipigwa chini na mamlaka ya rufaa ya zabuni za umma(PAA-Public Procurement Appeals Authority) haukutokana na kukosa weledi kwa Mavere na kushauriwa vibaya na Mr.Mkama Mbuguma mtu aliyemteua ilihali akijua hana competency,kama anaona anafaa kwanini amemuondoa baada ya kuangukia Pua huko PAA?
  5. Je kitendo cha Mr.Mavere Kumteua Mr.Michael Bajile -Ag.Manager wa Maoteo(Quantification Manager) kuwa mwenyekiti wa MSD Tender Board,ili aka-approve manunuzi ambaya katengeneza requistion mwenyewe kama user.Je huoni hiyo inaleta mgongano wa masilahi(Conflict of interest) na ndo chanzo cha rushwa?
 
Halafu Sekretariati ya ajira ni independent entity, CEO wa taasisi fulan hana uwezo wa kuingililia majukumu ya taasis nyingine . Wewe labda umekosa cheo
Mimi sihitaji cheo MSD,jikite kwenye hoja
 
Hao watu uliowataja kama wanavigezo kwanin wasipewe hizo nafasi? Hapo ndio unaonesha ulizitaka Wewe
hawakuwa na vigezo na weledi ,ndio maana wamepelekea kumshauri vibaya akaenda kuangukia pua huko PAA.Hata kama wewe ni chawa,jitahidi kufanya analysis kidogo kabla ya kumtetea bwana yako
 
Ishu ya Rushwa kuna vyombo husika.kama kweli anakula rushwa pelekeni tuhuma pccb, rushwa ipo mpaka magogoni , wewe unashangaa msd , rushwa ipo mpaka TAKUKURU, Wewe unashangaa msd . Fanya kazi acheni umbea
Kwa jinsi ulivyo shallow na usivyo mzalendo, eti unataka watu tufumbie macho rushwa hapo MSD kwa sababu eti rushwa ipo vilevile PCCB, Magogoni etc, je unaweza kuhalalisha uovu kwa uovu mwingine? DOES TWO WRONGS MAKE ONE RIGHT? Je wewe ni kilaza kiasi Cha kutojua kuwa MSD ni Taasisi ya Umma inayoendeshwa Kwa pesa za walipakodi(Taxpayers Money) ikiwemo Mimi mwenyewe, hivyo hujui Kwa sababu hiyo watendaji wa MSD wanawajibika Kwa Umma(Public Accountability) Mr. Mavere, nakushauri achana na machawa wa aina hii watakupoteza kwa sababu they are very unethical, wanatanguliza matumbo mbele na wanafikiria kwa kutumia makalio. Bado una opportunity ya kujirekebisha na kusonga mbele iwapo utayafanyia kazi maoni mbalimbali yakiwemo ya mleta mada
 
Wewe na Mtoa mada mtakuwa mmekosa nafasi. Hasira unazileta JamiiForums.
Narudia tena MSD inakwama kwa majungu. Badala ya kufanya kazi mnaleta majungu mitandaoni. Kwenye kila Uongozi kuna watu kama nyie mnakuja kuleta majungu na haya mambo yanaanzia ngazi za juu.
MSD ni taasisi hopeless na sio sehemu sahihi ya kukuza utaalam, ni majungu na tamaa ya vyeo, mkikosa mnakuja mitandaoni. Ishu ya Rushwa kuna vyombo husika.kama kweli anakula rushwa pelekeni tuhuma pccb, rushwa ipo mpaka magogoni , wewe unashangaa msd , rushwa ipo mpaka TAKUKURU, Wewe unashangaa msd . Fanya kazi acheni umbea watu wa msd. Matatizo yenu hayatoweza kwisha. Kwa miaka 3 mmeshabadili ma dg wengi , na kila kiongozi anakuja timu yake anayoiamini. Mbona hiz mambo hatusikii huko Ewura, TCRA ,
Hata mwaka bado mmeshaanza kumnanga kiongozi wenu. msd ni kama wana wa Israel, wanavitimbi na hila kila kukicha na kazi hawafanyi. Kazi yenu ni majungu na umbea na cheo fulan kapewa nani . CEO wabaini hawa watu haraka na uwapeleke nje ya miji wakafanye kazi. Hawa ni watu wako wa ndani na ni sabotage ya chini chini
washenzi wakikosa nafasi wanakimbilia humu, huyo aliyepost inaonekana kahamishwa toka hapo
 
Jibu hoja za mleta mada,JF siyo sehemu ya mipasho.l

Ndugu punguza jazba kunywa maji kwanza kama una kiu,hapa JF hoja hujibiwa kwa hoja na siyo kuleta mipasho.Nakukumbusha kuwa mnamo tarehe 17th April,2022 ,ukiwa chawa wa mavere ulikuja na uzi wenye title 'Rais Samia amegeuza upepo wa MSD kwa kumteua Mavere Tukai' siye tulikuonya kuwa acha uchawa na usimpe kichwa kwa sifa za kijinga lkn hukutuelewa lakini leo facts zinawekwa mezani unakuja na mipasho baada ya kupanick.Kwa taarifa yako,JF ndo forum sahihi kwa whistle blowers kama sisi wenye nia ya dhati ya kufichua makando kando mbalimbali. Labda nikukumbushe hoja za mleta mada ambazo unatakiwa kuzijibu kwa facts/evidence na siyo kuleta mipasho na mere bare words.Hoja ni kama zifuatazo:
  1. Je Mkurugenzi wa MSD Mr.Mavere hakutangazia Taifa pale MAELEZO kuwa serikali ya SAMIA imeipatia MSD pesa yote ya robo ya kwanza 2022/23 kiasi cha TZS 57 Billion kwa ajili ya manunuzi ya dawa?
  2. Je hakuna uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali na vituo vya Afya vya Umma?
  3. Je MSD kwa sasa ina safu ya uongozi(Menejimenti team) au inaendeshwa na mtu Mmoja(One Man Show) mkurugenzi Mkuu Mr.Mavere ambaye muda mwingi yupo safarini huku akitembea na ofisi bila kufanya juhudi za dhati kuhakikisha zoezi la RECRUITMENT OF MSD DIRECTORS linakamilika ili kutii agizo la Waziri Ummy ambae alitoa deadline ya 30th September,2022 MSD iwe imepata safu mpya ya uongozi,Je deadline hiyo ya Ummy kaileta mleta mada au ni ya kweli?Je huoni kuwa kutokuwa na safu kamili ya uongozi inachelewesha maamuzi haswaa ya manunuzi na usambazaji wa dawa na vifaa tiba? Je kudharau agizo la Waziri Ummy hiyo siyo Insubordination kwa waziri huyo?
  4. Je Mchakato wa manunuzi ya vitendanishi ambao ulipigwa chini na mamlaka ya rufaa ya zabuni za umma(PAA-Public Procurement Appeals Authority) haukutokana na kukosa weledi kwa Mavere na kushauriwa vibaya na Mr.Mkama Mbuguma mtu aliyemteua ilihali akijua hana competency,kama anaona anafaa kwanini amemuondoa baada ya kuangukia Pua huko PAA?
  5. Je kitendo cha Mr.Mavere Kumteua Mr.Michael Bajile -Ag.Manager wa Maoteo(Quantification Manager) kuwa mwenyekiti wa MSD Tender Board,ili aka-approve manunuzi ambaya katengeneza requistion mwenyewe kama user.Je huoni hiyo inaleta mgongano wa masilahi(Conflict of interest) na ndo chanzo cha rushwa?
uwe unafanya analysis kwa taarifa au uombe maelezo , hapo namba 1.KWELI HAO JAMAA WAMEPEWA HIZO 57B NA NILAZIMA UAMBIE UMMA, lakini ukumbuke umepewa hizo pesa, lakini unadaiwa zaidi ya bilioni 200 na wazabuni na kadhalika, na msd anaidai huyohuyo serikali zaidi ya bilion 150+ unategea akili gani hapo? is just ujanja wa kufukia mafukia mambo ambayo hayafutiki.....overhaul ineendana na kulipa madeni ya msd yote na kupatiwa mtaji wa msd kujiendesha, porojo hazifai
 
Pole,jikite kujibu hoja zote za mleta mada pamoja na nilizoainisha hapo juu.Kuna mambo mengine ya ki-utendaji hayahitaji hata hizo pesa inategemea weledi wa kiongozi na timu inayomzunguka.kwa mfano:
  • Je DG Mavere kutembea na ofisi ya umma bila kukaimisha huku aki-paralyze operations kama kuchelewesha mchakato wa manunuzi ya dawa,Je hilo nalo tatizo lina connection gani na uhaba wa pesa?
  • Je kushindwa kukamilisha mchakato wa DIRECTORS RECRUITMENT ili apate watu credible anaowa-trust kuwakaimisha ofisi,pamoja na kufanya decisions zinginezo muhimu,je hilo nalo lina connection gani na madeni au uhaba wa pesa?
  • Je kushindwa kwa Mavere ku-observe Sheria na Kanuni mbalimbali katika kutekeleza majukumu mbalimbali hadi kuletea kashfa Taasisi kama ile kashfa ya PAA au Appointments/Staff Transfrers zisizo na tija,je hayo nayo yanatokana na madeni au uhaba wa pesa?
  • Je yeye Mr.Mavere akiwa free of duress/threats alivyotangazia umma kwamba MSD imepokea TZS 57BLN za kununulia dawa na kuwa zinatosha,je hilo nalo ni shida ya mleta mada?
 
Sukuma gang kaka yenu Mwendazake kauwa uchumi sana na madhala yake tutayaona sana bado miaka 5 mbele ya hali ngumu ya maisha kua magumu sana
 
Back
Top Bottom