Kulikoni upatikanaji wa dawa katika hospitali za umma?


Sukuma Gang .
 
Sukuma Gang .
Pole! Naona we chawa wa Mavere baada ya kupigwa spana upo unaweweseka.Kama nilivyoeleza awali siye ni Whistle bLowers ambao tunaibua mada tunapoona hali ni mbaya tukiwa wishful ili kurekebisha mambo.Nadhani unajua leo bunge la JMT limeweka resolutions kadhaa dhidi ya MSD ,sababu ikiwa ni hali mbaya ya upatikanaji wa dawa katika hospitali na vituo vya afya vya umma.Kwa hiyo na -reiterate kuwa Mr.Mavere jipange,ikiwemo kupata haraka safu ya uongozi ya DIRECTORS,ili uachane na management style yako ya ku-personalize ofisi za umma kwa kutembea na ofisi ya umma unapokuwa safarini hivyo ku-paralyze operations ikiwemo kushindwa kununua dawa kwa wakati.Na wewe MSD BOARD CHAIRMAN Bi ROSEMARY SILAA ,ukiwa kiongozi wa Bodi ya wadhamini ya MSD,hebu na wewe acha kuendekeza ushikaji wako na Mavere ulioanza yeye akiwa NGO ya Globalheath na wewe Rose ukiwa PWC ,please exercise your oversight role msaidieni Rais mama SSH kuhakikisha MSD inatekeleza majukumu yake ipasavyo na wewe usiwe sehemu ya hujuma kwa Rais .
Tafadhali sikilizeni wenyewe kuhusu Resolutions hizo za Bunge dhidi ya MSD kutokana na hali mbaya ya upatikanaji wa Dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…