Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Dah! Ngoja wafanye fasta kuwapakiza kwenye boti wabara waje huko maana mna visa kweli kweli😀Huyo ni mbara, sisi wazanzibar hatuwezi kumuaga.
Wazanzibar wana nongwa sana , so haitasaidiaHuyo ni mbara, sisi wazanzibar hatuwezi kumuaga.
Yaani hata UVCCM wazee wa vimbelembele misibani Leo wameshindwa kuhamasishaDah! Ngoja wafanye fasta kuwapakiza kwenye boti wabara waje huko maana mna visa kweli kweli😀
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..Asilimia kubwa ya watu Tz ni chini ya miaka 35, hawa hawamjui Mwinyi na hakuna connection. Hata msafara wake huku bara watu wachache sana walitokea barabarani kumuaga.
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Acha tabia ya shetani mwenye mapembe. Wabara ndiyo wanawalisha la sivyo mngebaki watumwa wa mwarabu.Huyo ni mbara, sisi wazanzibar hatuwezi kumuaga.
Unakumbuka kilichotokea wakati wa kumuaga Magufuli? Kwa taarifa yako, walifariki watu wengi kweli kweli halafu serikali ikaficha. Wale wote waliofariki walizikwa na ndugu zao na attention yote ya serikali ilikuwa ni mazishi ya Magufuli. Nitashangaa sana kama kuna watu bado hawakujifunza kwenye lile tukio.Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi