Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Najiuliza, ule umati wa waliomuomboleza Jiwe kila alikopitishwa walihamasishwa na nani?Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?