Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Kuna mambo mengine nayo hayana mpango.
Hivi kuna haja gani kuizurulisha maiti huku na huku kwa madai eti ya kwenda kuagwa! Mtu akishakufa hasa kwa imani ya kiislam anatakiwa azikwe haraka iwezekanavyo hayo madoido mengine hayamsaidii chochote marehemu.
 
Mimi kuna jirani alifariki na watoto. Hawakuzikwa na serikali. Pengine waliwahi kuzika kabla serikali haijafanya mpango? Na hii ya kuficha idadi ya waliofariki imekaaje? Nashauri kama mtu unajielewa misiba kama hii susia.
Idadi kamili ni ipi mkuu
 
Kama watu wakienda kuaga kwa upendo tu wanashushiwa kipigo unadhan nani aende huko, wacha wazikane wenyewe bwana na majeshi yao
KWELI uwanja umejaaa wanajeshi , na wanachuo wa polisi na usalama wa taifa …..hii kisiasa haijakaaa vyema …kwa saababu hata tukisema Mzee Mwinyi ni mzee hawamjui….huyu ni baba wa seating President ni jambo la kushangaza kama wananchi wameshindwa kujitokeza kumpa Faraja
 
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Kwani jana pale Shamba la bibi kulikuwa na nyomi?
 
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Waliopanga hii shughuli hawakuzingatia imani na utamaduni wa kizanzibari.
Vyenginevyo walikusudia kumuaibisha marehemu.
 
wamefosi mambo hiyo ndio gharama. mtu kwao mkuranga mnampeleka zanzibar kulazimisha aonekane wa huko. mwenyewe alitaka azikwe kando ya wazazi wake maskini.
kingine sio utamaduni wa wazanjibari mambo ya kuaga. pia walishashtuka mnawafanyia siasa suala la kumzika huko.
 
Sisi wazamzibar dini yetu inakataza kuaga maiti ndiyo maana hautuoni hapo uwanjani hata hao waliopo hapo uwanjani ni wahamiaji haramu kutoka kwenu Tanganyika
 
Kwani Zenj waalimu hamna? After all watu wa Zenj ni wachache sana hawawezi kuujaza uwanja
 
Ulizia waliokwenda mortuaries za hospital za Dar wakuambie walichoona.
Ndugu yangu
Nakushauri tu. Hii nchi imejaa uozo mwingi na sintofahamu za kutosha. Tujitahidi kuwa na data au fact za kile tunachotaka kuadress kwani bila hivyo itaonekana tunasambaza chuki zisizo na mbele wala nyuma.
 
Back
Top Bottom