Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Kama nikakumbuka vizuri polisi iliweka idadi kama ya watu 45 hivi wakati hosptal jama alisema zilikuwa zimepangana maiti. Ni mtu wa uhakika na ni mwana CCM kindaki na alikuwa analaumu. Haya mambo kama unataka kufuatilia unaweza kupita hizo hospital ukaulizia kijanja. Hata wakati wa covid walificha idadi.
Hiyo ndo tamu na chungu ya CCM
 
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?

Yaan kisa wewe umewahi tu unaanza kuripoti watu wachache.

Unatofauti gani na wale waliokuwa wanaripoti maandamano ya chadema.
 
Kinachofanyika katika mazishi naona ni tofauti na taratibu ninazozionaga katika mazishi mengine ya kiislam mfano ni huu mjumuiko wa wanawake na wanaume kuchanganyikana au ni mazoea tu lakini taratibu zinaruhusu? Wenye ujuzi zaidi naomba elimu kidogo katika eneo hilo.
 
Huwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi
Usinikumbushe nilitembea taifa hadi airport
 
Unakumbuka kilichotokea wakati wa kumuaga Magufuli? Kwa taarifa yako, walifariki watu wengi kweli kweli halafu serikali ikaficha. Wale wote waliofariki walizikwa na ndugu zao na attention yote ya serikali ilikuwa ni mazishi ya Magufuli. Nitashangaa sana kama kuna watu bado hawakujifunza kwenye lile tukio.
Mtanzania lini ameanza kujifunza?

Wanachota petrol inayoua baada ya gari kuanguka hadi kesho
 
Yaan kisa wewe umewahi tu unaanza kuripoti watu wachache.

Unatofauti gani na wale waliokuwa wanaripoti maandamano ya chadema.
Ukweli haujifichi….
…..naona …ubaguzi waliofanyiwa chadema huku ..umeendelea huko kwa Chama kikuu cha upinzani zanzibar …
 
Back
Top Bottom