Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

Najiuliza, ule umati wa waliomuomboleza Jiwe kila alikopitishwa walihamasishwa na nani?
 
Ila bongo jana nilikuwa sehemu nikasikia kijiweni watu wakisimulia eti ndege iliyo ubeba mwili wa babu mwinyi imegoma kuwaka, mwili umegoma kwenda zanzibar kisa kukiuka wosia, nikaingia mtandaoni nisome sikuona kitu.

Ina maana wambea wa humu hawakujua hilo tukio?
 
Barabarani hukuona walivyofurika
 
Nyerere alifariki 1999, asilimia kubwa ya watu waliokuwepo walikuwa na connection nae.
 
Mkuu
Waliofariki walizikwa na serikali. Nilishiriki msiba wa familia ya rafiki yangu aliyeondokewa na ndugu watano pale Taifa.

Tatizo siyo kuhofia kukanyagana bali ni mwangwi wa Msiba wa Lowasa ambapo wanausalama waliover eeact kwa wapendwa waombolezaji kwa mmoja kusimikwa konde la shingo hivyo inapelekea watu kuanza kususia misiba ya kitaifa kwa sababu ni ya viongozi na si wanachi.

Ubaguzi unajiongeza taratibu
 
Mimi kuna jirani alifariki na watoto. Hawakuzikwa na serikali. Pengine waliwahi kuzika kabla serikali haijafanya mpango? Na hii ya kuficha idadi ya waliofariki imekaaje? Nashauri kama mtu unajielewa misiba kama hii susia.
 
Kumbuka wanawake waislam hawajitokezi kwenye misiba yawezekana ndio sababu kubwa ya kutokuwepo uwanjani lakini tendo la kuaga mwili kwa waislam sio utamaduni kwa hiyo husiwe na hofu
 
Unafikiri Kwa zile nyimbo tulizokua tunaimba primary ni nani angebaki nyumba asiende kumuaga Mzee wa azimio

Nakumbuka nyimbo ya azimio la Arusha


Azimiooo
La arushaaaaaa
Linasema siasa kilimo boraaaaaa

Wana
Wananchi tushike majembee
Tuka
Tukalime tupate mazaooo Bora.
 
Helicopter ilimbeba
 
Kama watu wakienda kuaga kwa upendo tu wanashushiwa kipigo unadhan nani aende huko, wacha wazikane wenyewe bwana na majeshi yao
 
Bado mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…