Hiyo ndo tamu na chungu ya CCMKama nikakumbuka vizuri polisi iliweka idadi kama ya watu 45 hivi wakati hosptal jama alisema zilikuwa zimepangana maiti. Ni mtu wa uhakika na ni mwana CCM kindaki na alikuwa analaumu. Haya mambo kama unataka kufuatilia unaweza kupita hizo hospital ukaulizia kijanja. Hata wakati wa covid walificha idadi.
Huwezi kuwaambia Wazanzibar wauage mwili.
Imani yao asilimia kubwa hairuhusu hiyo mambo.
Wanaamini ukifa, uoshwe, uswaliwe, uzikwe.
Kina lukaYaani hata UVCCM wazee wa vimbelembele misibani Leo wameshindwa kuhamasisha
Basi sawaW
Wazanzibar ni mbwa tu
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa Ajabu sana …wametuchia?
Ww haunt hiso takwimu ili tumalizeTafuta takwimu za sensa uone, umepinga nilifikiri utaweka takwimu tofauti.
Usinikumbushe nilitembea taifa hadi airportHuwa Hilo haijalishi sana legacy huwa inaishi hata miaka Mia ….nyerere alipofariki maelfu ya watu walimiminika hata ambao hawakuwahi kumuona…..
Pengine tujifunze pia kutohodhi Misiba ..kwani inawafanya watu kuona huu ni msiba wao Yaani wa viongozi
Mtanzania lini ameanza kujifunza?Unakumbuka kilichotokea wakati wa kumuaga Magufuli? Kwa taarifa yako, walifariki watu wengi kweli kweli halafu serikali ikaficha. Wale wote waliofariki walizikwa na ndugu zao na attention yote ya serikali ilikuwa ni mazishi ya Magufuli. Nitashangaa sana kama kuna watu bado hawakujifunza kwenye lile tukio.
Ukweli haujifichi….Yaan kisa wewe umewahi tu unaanza kuripoti watu wachache.
Unatofauti gani na wale waliokuwa wanaripoti maandamano ya chadema.