Mkuu, njoo huku Makete tufanye kazi. Kumbe hawa madalali wanatuumiza huku kuwa bei bado mbaya.Habar ndugu zangu jamiiforums
.
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei mara dufu .kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili.
Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake umekuwa mdogo kwahiyo vinakuwa vichache na mahitaji ni makubwa.?
Nimekosa majibu lakin hapa nafikiria kuanza kulima viazi moja kwa moja kutokea njombe
Jaman kama kuna mtu yupo hiyo kanda ya kulima viazi naomba mnipokee naona utajiri umejicha shambani moja kwa moja.
Note.
Nimestuka utajiri upo kwenye information sahihi.
Nenda kalime siyo kuja kulalamika humu. Kuna shamba humu JF?Habar ndugu zangu Jamiiforums
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili.
Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake umekuwa mdogo kwahiyo vinakuwa vichache na mahitaji ni makubwa.?
Nimekosa majibu lakini hapa nafikiria kuanza kulima viazi moja kwa moja kutokea Njombe.
Jamani kama kuna mtu yupo hiyo kanda ya kulima viazi naomba mnipokee naona utajiri umejicha shambani moja kwa moja.
Note.
Nimestuka utajiri upo kwenye information sahihi.