Kulikoni viazi bei iko juu sana 170,000 au ndio uchumi wa kati!

Kulikoni viazi bei iko juu sana 170,000 au ndio uchumi wa kati!

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Habar ndugu zangu Jamiiforums

Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili.

Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake umekuwa mdogo kwahiyo vinakuwa vichache na mahitaji ni makubwa.?

Nimekosa majibu lakini hapa nafikiria kuanza kulima viazi moja kwa moja kutokea Njombe.

Jamani kama kuna mtu yupo hiyo kanda ya kulima viazi naomba mnipokee naona utajiri umejicha shambani moja kwa moja.

Note.
Nimestuka utajiri upo kwenye information sahihi.
 
Habar ndugu zangu jamiiforums
.
Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei mara dufu .kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili.

Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake umekuwa mdogo kwahiyo vinakuwa vichache na mahitaji ni makubwa.?

Nimekosa majibu lakin hapa nafikiria kuanza kulima viazi moja kwa moja kutokea njombe

Jaman kama kuna mtu yupo hiyo kanda ya kulima viazi naomba mnipokee naona utajiri umejicha shambani moja kwa moja.

Note.
Nimestuka utajiri upo kwenye information sahihi.
Mkuu, njoo huku Makete tufanye kazi. Kumbe hawa madalali wanatuumiza huku kuwa bei bado mbaya.
 
Unachotakiwa kujua viazi mviringo mwaka huu masika ,viliungua sana mashambani hivyo vinavyotoka sasa vichache na adimusana
 
Bei nzuri kwa sisi wakulima itatulipa. Zamu yetu kuneemeka...bei siku zote inatuangukia sie tu...bei hoiyee!
 
karibu sana sana sanaaa ila wazawa wa huku hata mpango wa kuchangamkia hio fursa hatuna😂
 
Huyu muandishi hajui kwamba bidhaa sokoni ni za msimu, hujashtuka sukari bei juu hairudi tena hata 2000 kama miaka mitatu tu nyuma.unashtuka maviazi hayo. Hayo ni mazao ya msimu. Hupanda na kushuka kutokana na vipindi.
Na hizo chipsi utanunua bei ile ile, ilimradi huko umekuta imepanda. Hizo bei za kawaida sana. Au ndio umeanza kujitegemea? Kisado 45,000 cha viazi alafu Birthday ya mtoto wako, si utachanganyikiwa wewe. Soda kreti 14,500 kawaida 11,000, Mafuta Lita moja 7000 nyama 10,000 .
Ndugu welcome to trade economy. It was here centuries ago. Usishtuke.
Back to the topic bei ya kawaida, hamna viazi ardhini sasahvi
 
Habar ndugu zangu Jamiiforums

Niende kwenye mada chap. Jana nimetoka gengeni kuulizia tu viazi kidogo naambiwa viazi vimepanda bei maradufu. Kwamba gunia moja ni laki 1 na elfu 70 kamili.

Nikajiuliza ni kuwa chips ni chakula pendwa kwa sasa mpaka viazi vimekuwa adimu sana au uzalishajj wake umekuwa mdogo kwahiyo vinakuwa vichache na mahitaji ni makubwa.?

Nimekosa majibu lakini hapa nafikiria kuanza kulima viazi moja kwa moja kutokea Njombe.

Jamani kama kuna mtu yupo hiyo kanda ya kulima viazi naomba mnipokee naona utajiri umejicha shambani moja kwa moja.

Note.
Nimestuka utajiri upo kwenye information sahihi.
Nenda kalime siyo kuja kulalamika humu. Kuna shamba humu JF?
 
Back
Top Bottom