Mbunge msukuma anahoji Rio ndio nani?Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
Mbunge msukuma anahoji Rio ndio nani?
Rio menyewe kagoma hata kupost kama yupo Tanzania.
Mbunge msukuma anahoji Rio ndio nani?
Rio menyewe kagoma hata kupost kama yupo Tanzania.
ili iweje kwa mfano gentleman 🐒Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
Mgosi akijichenga na Bashite ajue kamkacha lazima atamwanzishia Zengwe kubwa na hata kung’olewa wizara ya michezo, hapo itakuwa mgosi hayupo Nchini kwa taarifa maalumKwani haujaskia mkuu, hilo dili lilikua la ngosha na domokaya, sasa baada ya kushirikishwa mgosi akatosa.... ngosha akamvimbia mgosi, kwakua domokaya alisha usoma mchezo wa noti.... mgosi akaona isiwe tabu, waja wakamshauri kwamba atulie maana yeye bado ni kijana na siasa ndivyo ilivyo.
Azialike yanga na simba London tuone kama Rio ana nguvu huko kwaoMbunge msukuma anahoji Rio ndio nani?
Rio menyewe kagoma hata kupost kama yupo Tanzania.