Kulikoni ziara ya Rio Ferdinand, mbona Naibu Waziri hajaonekana?

Kwani haujaskia mkuu, hilo dili lilikua la ngosha na domokaya, sasa baada ya kushirikishwa mgosi akatosa.... ngosha akamvimbia mgosi, kwakua domokaya alisha usoma mchezo wa noti.... mgosi akaona isiwe tabu, waja wakamshauri kwamba atulie maana yeye bado ni kijana na siasa ndivyo ilivyo.
 
Sasa kama Daudi bashite "ame steal the show" yeye angefanyaje?🥹🥹.. huoni bro bashite ametaka awe main character kwenye hii drama😶‍🌫️ ukizingatia ni toto pendwa🏃🏃🏃
 
Sasa Rio aweza kuwaalika Yanga Simba London wakipige hata West Ham au Spurs tu ❓❓❓
 
Mgosi akijichenga na Bashite ajue kamkacha lazima atamwanzishia Zengwe kubwa na hata kung’olewa wizara ya michezo, hapo itakuwa mgosi hayupo Nchini kwa taarifa maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…