Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

We MATAGA endelea tu kupiga makelele mtandaoni, huku vijana wanaotoka upinzani kuja kwenu wakiendelea kulamba uteuzi.
 
wishoni mwa mwezi 5 mwaka huu CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walitangaza kuanza ziara nchi nzima za kufufua chama na kusaka wanachama wapya.
Unajua kinachoendelea au unakurupuka tu kama uharo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…