Kulikuwa hakuna ulazima wowote wa TRA kununua Tabora United?


Kenya kuna KRA pia...
 
Umepata kusikia sababu za kununua Tabora United mkuu!?

Sababu zao nimezisoma hazina mashiko...

Kitu pekee walipaswa kusema labda ni kwamba wameamua kujikita kwenye mpira wa miguu ili kuungana na juhudi za TFF na wizara ya michezo kuboresha timu za ligi kuu kwa kuanza na kumiliki timu...

Maana kama ni kodi za wananchi, timu za majeshi na zile za manispaa nazo zinaendeshwa kwa uwezo wa makusanyo ya kikodi tu...
 
Hapo sawa Mkuu maana sababu ya manunuzi ya timu ndio inatia mashaka sana! Unanunuaje timu ili ikawafanye watu wapate elimu ya kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…