Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.