Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

Hivi tumelogwa na nani?

  • Unlimited acess

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    8
Shida ya sisi Watanzania maneno mengi matendo zero, tujikusanye tuingie msituni tujifuze shabaha tuibuke kudai vyetu
Tafadhali nipigie nikupe maelekezo namna ya kufika kambini, nimeshaanzisha mafunzo katika mapango ya Duluti, karibu bwashee tuukatae unyonge.
 
Ronald Reagan alikuwa Cowboy 😊
Acha kuifananisha 🇺🇸 na 🇹🇿 mkuu, mifumo ya uongozi na utawala ni mbingu na ardhi, uzalendo haulingani wala kufanana. Wakati sisi tunahitaji mtu asimamie rasilimali zetu, wao wanaangalia mifumo yao iendeshe nchi. So pls!
 
Kuna muda mtu unawaza kuacha kujihusisha na siasa ila ukikaa unakumbuka ni ngumu sana kutofautisha maisha na saisa.

Sometime unawaza kwann nimewai kuzaliwa ni bora ningezalia miaka 200 baada ya uhuru wa Tanzania wenda mambo yangekua tofauti.
 
Mda mingne tuache kulaumu serikal izi nchi changa na zisizo na maono ni kaz sana kuishi na kuzaliwa ni bas tu haina ujanja
 
Awamu hii kama upo kwenye system, usipotajirika basi wewe utakufa masikini
 
Back
Top Bottom