Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Shida ya sisi Watanzania maneno mengi matendo zero, tujikusanye tuingie msituni tujifuze shabaha tuibuke kudai vyetuNaomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
Hii ndo shidaBahati mbaya zaidi hiyo pesa hata nusu yake inaweza isitumike kwenye maendeleo ikaishia kwenye mifuko ya watu
Sababu kubwa Ni kuwa expose watanzania wenzetu walio bahatika kwenda na rais so wamekua exposed na hiyo Safari impact yake itaonekana kwa ngazi ya familia na later country in large..Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
Ronald Reagan alikuwa Cowboy 😊Hapa tumeingizwa chaka, ofisi iko na mtu wa level NGO. Yaani katibu muhtasi amepewa ofisi. Inaumiza sana, ndio maana hata kujadili siasa za bongo ni kujiongezea msongo tu.
Ukiwa tyr njoo dm mm niko mstari wa mbeleShida ya sisi Watanzania maneno mengi matendo zero, tujikusanye tuingie msituni tujifuze shabaha tuibuke kudai vyetu
Waimba mapambio lazima waonjeshwe buyu la asali halafu muone watakavyo imba kama chuchungwe kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuuNaomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.