Baba Kisarii JF-Expert Member Joined May 7, 2024 Posts 1,844 Reaction score 3,089 Jun 4, 2024 #21 DeMostAdmired said: Shida ya sisi Watanzania maneno mengi matendo zero, tujikusanye tuingie msituni tujifuze shabaha tuibuke kudai vyetu Click to expand... Tafadhali nipigie nikupe maelekezo namna ya kufika kambini, nimeshaanzisha mafunzo katika mapango ya Duluti, karibu bwashee tuukatae unyonge.
DeMostAdmired said: Shida ya sisi Watanzania maneno mengi matendo zero, tujikusanye tuingie msituni tujifuze shabaha tuibuke kudai vyetu Click to expand... Tafadhali nipigie nikupe maelekezo namna ya kufika kambini, nimeshaanzisha mafunzo katika mapango ya Duluti, karibu bwashee tuukatae unyonge.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jun 4, 2024 #22 Paka wa ferry said: Ronald Reagan alikuwa Cowboy ๐ Click to expand... Acha kuifananisha ๐บ๐ธ na ๐น๐ฟ mkuu, mifumo ya uongozi na utawala ni mbingu na ardhi, uzalendo haulingani wala kufanana. Wakati sisi tunahitaji mtu asimamie rasilimali zetu, wao wanaangalia mifumo yao iendeshe nchi. So pls!
Paka wa ferry said: Ronald Reagan alikuwa Cowboy ๐ Click to expand... Acha kuifananisha ๐บ๐ธ na ๐น๐ฟ mkuu, mifumo ya uongozi na utawala ni mbingu na ardhi, uzalendo haulingani wala kufanana. Wakati sisi tunahitaji mtu asimamie rasilimali zetu, wao wanaangalia mifumo yao iendeshe nchi. So pls!
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,690 Jun 4, 2024 #23 Kuna muda mtu unawaza kuacha kujihusisha na siasa ila ukikaa unakumbuka ni ngumu sana kutofautisha maisha na saisa. Sometime unawaza kwann nimewai kuzaliwa ni bora ningezalia miaka 200 baada ya uhuru wa Tanzania wenda mambo yangekua tofauti.
Kuna muda mtu unawaza kuacha kujihusisha na siasa ila ukikaa unakumbuka ni ngumu sana kutofautisha maisha na saisa. Sometime unawaza kwann nimewai kuzaliwa ni bora ningezalia miaka 200 baada ya uhuru wa Tanzania wenda mambo yangekua tofauti.
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,690 Jun 4, 2024 #24 Mda mingne tuache kulaumu serikal izi nchi changa na zisizo na maono ni kaz sana kuishi na kuzaliwa ni bas tu haina ujanja
Mda mingne tuache kulaumu serikal izi nchi changa na zisizo na maono ni kaz sana kuishi na kuzaliwa ni bas tu haina ujanja
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 5,736 Reaction score 18,648 Jun 4, 2024 #25 Awamu hii kama upo kwenye system, usipotajirika basi wewe utakufa masikini
DeMostAdmired JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 1,579 Reaction score 3,798 Jun 4, 2024 #26 Baba Kisarii said: Tafadhali nipigie nikupe maelekezo namna ya kufika kambini, nimeshaanzisha mafunzo katika mapango ya Duluti, karibu bwashee tuukatae unyonge. Click to expand... Nipe namba pm
Baba Kisarii said: Tafadhali nipigie nikupe maelekezo namna ya kufika kambini, nimeshaanzisha mafunzo katika mapango ya Duluti, karibu bwashee tuukatae unyonge. Click to expand... Nipe namba pm
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Jun 4, 2024 #27 Hili limama nilikua nalifagilia ila limeanza kuniboa