Habarini wakuu.
Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .
Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?
Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.
Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu
Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?
Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?
Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?