Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sawa,Wana Usalama ndio wamevujisha mkuu. Baada ya kumfanyia upekuzi ndio wakakutana na huo mzigo
Sasa unajuaje ni serikali imevujisha na si wanausalama hao kama watu binafsi?
Umeelewa swali langu?
Mfanyakazi wa serikali ya Tanzania akiuza silaha Congo, utajuaje hapa serikali ya Tanzania imeuza silaha na si mtu ambaye ni mfanyakazi wa serikali ya Tanzania kauza silaha mwenyewe tu bila kuagizwa na serikali ya Tanzania na hivyo serikali haihusiki?
Umeelewa swali langu?
Unahakikishaje hao waliovujisha wamevujisha kwa agizo la kiserikali na si kwa matakwa yao wao wenyewe kama watu binafsi?