Kulikuwa na haja gani kwa serikali ya Equatorial Guinea kuvujisha zile video?

Video za p Didy nani alizibamba?
Usalama wa Taifa katika nchi za Afrika ni ajira ya ukoo au connection, vijana wengi wa usalama wa Taifa hawana akili timamu kufit kazi ile ngumu.
Serikali haijavujisha bali vijana wahuni walioajiriwa na serikali ndio waliovujisha
Serekali ni ipi na waajiriwa Serekali ni wepi?
 
Kwanza tukio la Masaki na la huyu CAG wa Guinea halifanani; la Masaki mwenye bastola alikua filmed na CCTV, cctv ile ni mali ya mtu binafsi na ni yeye ambaye ana control nayo and hence pale serikali yetu haihusiki even aliyevujisha ile video alifanya jambo la kizalendo sana kwa nchi yake. Now coming back to what happened in Equatorial Guinea; wakati mwingine investigators wakkiikosa kitu walichokua wanakitaka then wataachia hata ambavyo havikua kwenye list yao ya uchunguzi, so may be hilo linaweza kua la kwanza (again kwa mtazamo wangu, hapa pia serikali haihusiki, is an individual's fault ) but again kama jamaa alikua na ugomvi/chuki na Bartazary or wivu au ndoa yake or wale wanawake waliohusika kwenye zile show zake then investigator huyo anaweza kuona hi ndio njia pekee ya yeye kulipiza kisasi; kafanikiwa. May be aliwahi kumtokea one of those ladies na wakamtolea nje. Ukitaka kujua kama serikali haihusiki na uvujaji wa hizo video, angalia hatua zilizochukuliwa, wame burn WhatsApp nchini mwao kurusha any kind of videos, but again kama mke wa IGP, AG, TISS wa kule na dada wa rais, unadhani serikali ingekua tayari kutangaza aibu ya senior officials wao kiasi hicho? No. Muhuni mmoja kafanya and I can bet, huenda huyo muhuni saa hizi yupo zake kwa muumba wake akijibu mashtaka yake ya hapa duniani. Mtazamo wangu
 
Mwamba ngoja nikusahihishe.
Masaki waliovujisha Ile video ya CCTV ni maaskari walioenda kufanya uchunguzi wa Lile tukio, The same to Guinea
 
Habarini wakuu.

Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .

Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?

Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.

Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu

Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?

Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?

Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?
Ziweke hapa!! Zipi hizo!?
 
Kwanza tukio la Masaki na la huyu CAG wa Guinea halifanani; la Masaki mwenye bastola alikua filmed na CCTV, cctv ile ni mali ya mtu binafsi na ni yeye ambaye ana control nayo and hence pale serikali yetu haihusiki even aliyevujisha ile video alifanya jambo la kizalendo sana kwa nchi yake. Now coming back to what happened in Equatorial Guinea; wakati mwingine investigators wakkiikosa kitu walichokua wanakitaka then wataachia hata ambavyo havikua kwenye list yao ya uchunguzi, so may be hilo linaweza kua la kwanza (again kwa mtazamo wangu, hapa pia serikali haihusiki, is an individual's fault ) but again kama jamaa alikua na ugomvi/chuki na Bartazary or wivu au ndoa yake or wale wanawake waliohusika kwenye zile show zake then investigator huyo anaweza kuona hi ndio njia pekee ya yeye kulipiza kisasi; kafanikiwa. May be aliwahi kumtokea one of those ladies na wakamtolea nje. Ukitaka kujua kama serikali haihusiki na uvujaji wa hizo video, angalia hatua zilizochukuliwa, wame burn WhatsApp nchini mwao kurusha any kind of videos, but again kama mke wa IGP, AG, TISS wa kule na dada wa rais, unadhani serikali ingekua tayari kutangaza aibu ya senior officials wao kiasi hicho? No. Muhuni mmoja kafanya and I can bet, huenda huyo muhuni saa hizi yupo zake kwa muumba wake akijibu mashtaka yake ya hapa duniani. Mtazamo wangu
Hapa nadhani hawakujua kwamba na wao ni wahanga. Hapa huwezi kuitoa serikali, maafisa wa usalama wasingeweza kuleak video hizi bila baraka za wakubwa Kwa cheo alicho nacho jamaa
 
Halafu huyu baltasar kwanini alikuwa akijirekodi Kila anayemnyandua,tuanze na yeye kusudio lake hasa lilikuwa Nini?
 
Video kuvuja mikononi mwa polisi ni uzembe wa hali ya juu wa serikali za Afrika. Video za jamaa hazikupaswa kuwa online against his will ukizingatia kila kitu was consensual from all the parties involved. Angekuwa nchi zinazojielewa angeshinda hii kesi na kulipwa fidia ila sababu yupo kwenye shithole countries kimeumana.
 
Kufifisha ukaguzi wa fedha uliofanyika.A staged drama.

Far fetched. Kufifisha ukaguzi wa fedha ndo hadi utoe video za faragha? Hiyo serikali ina watu wajinga kiasi gani? Huyo mtu ana nguvu kiasi gani kwenye nchi inayoendeshwa kiimla na the Obiang's family? Unjau yeye ndo alikuwa anakaguliwa kwa madai ya rushwa kwahiyo wamevujisha video za mtuhumiwa ili nini hasa kitokee? wewe unaweza kuvujisha video za mtu ambaye tayari yupo under investigation hapo unamkomoa nani na kwa faida gani maana yeye hana anything to lose anymore?
 
Far fetched. Kufifisha ukaguzi wa fedha ndo hadi utoe video za faragha? Hiyo serikali ina watu wajinga kiasi gani? Huyo mtu ana nguvu kiasi gani kwenye nchi inayoendeshwa kiimla na the Obiang's family? Unjau yeye ndo alikuwa anakaguliwa kwa madai ya rushwa kwahiyo wamefifisha video za mtuhumiwa ili nini hasa kitokee?
Ni familia moja na akina Obiang's
 
Hapa nadhani hawakujua nadhani kwamba na wao ni wahanga. Hapa huwezi kuitoa serikali, maafisa wa usalama wasingeweza kuleak video hizi bila baraka za wakubwa Kwa cheo alicho nacho jamaa
Unajua hadi sasa hivi jamaa anaokana kama mwamba wakati wanawake wanaonekana malaya? Fatilia comment za watu humu, Twitter/X, sio bongo tu, everywhere hadi one of the minister's wife ka kick the bucket; so bado siamini kama serikali imehusika katika ku leak those video bro. Jamaa katembea na wake wa watu wenye maamuzi makubwa, yaani pale ka miss mke wa spika na jaji mkuu tu, imagine AG, IGP, TISS (nimetumia vyeo vya hapa kwetu ) halafu remember kuna sister wake rais; unadhani hao decision makers wanaweza kuruhusu hizo video kwenda viral? Don't think so bro
 
Waliovujisha ni Wana Usalama, yawezekana hawakujua kama waliohusika ni wake wa viongozi wakubwa. Pamoja na hapo wangeweza kuzuia mapema, Kwa Nini waliacha isambae namna hii?
 
Video kuvuja mikononi mwa polisi ni uzembe wa hali ya juu wa serikali za Afrika. Video za jamaa hazikupaswa kuwa online against his will ukizingatia kila kitu was consensual from all the parties involved. Angekuwa nchi zinazojielewa angeshinda hii kesi na kulipwa fidia ila sababu yupo kwenye shithole countries kimeumana.
Najouliza tu; watamfunga kwa kosa gani? Hakubaka, walikubaliana and again, video zingine nasikia zina miaka hadi 2, kama yeye aliamua kuzitunza means alijali utu wake na wale wanawake and hence mwenye KOSA hapa sio yeye, ni aliyevujisha
 
Waliovujisha ni Wana Usalama, yawezekana hawakujua kama waliohusika ni wake wa viongozi wakubwa. Pamoja na hapo wangeweza kuzuia mapema, Kwa Nini waliacha isambae namna hii?
Ogopa sana internet bro; ogopa sana. Kuna baadhi ya nyaraka baadhi ya serikali hawezi file kabisa kwenye computer zilizo connected na internet or else hard copy zinahusika pakubwa. Yaani sasa rais wa nchi anaijua K ya dada yake, anzijua K za senior officials wake almost wote. Swali langu najiuliza; mwamba alikua anajiamini nini hadi kupiga mke wa IGP, AG na mkurugenzi wa TISS? Hakua anaogopa?
 
Mkuu amini ukiwa karibu na hao watu, wanalika tu. Shida moja ambayo jamaa ananipa shida ni hizi record alikuwa anazichukua ili iweje?
 
Far fetched. Kufifisha ukaguzi wa fedha ndo hadi utoe video za faragha? Hiyo serikali ina watu wajinga kiasi gani? Huyo mtu ana nguvu kiasi gani kwenye nchi inayoendeshwa kiimla na the Obiang's family? Unjau yeye ndo alikuwa anakaguliwa kwa madai ya rushwa kwahiyo wamevujisha video za mtuhumiwa ili nini hasa kitokee? wewe unaweza kuvujisha video za mtu ambaye tayari yupo under investigation hapo unamkomoa nani na kwa faida gani maana yeye hana anything to lose anymore?
Yawezekana ubadhirifu haujafanywa na mtu mmoja.Hapo wanatafuta namna ya kwenda na muda ili wasawazishe matuta yao.Yawezekana.
 
Halafu huyu baltasar kwanini alikuwa akijirekodi Kila anayemnyandua,tuanze na yeye kusudio lake hasa lilikuwa Nini?
Kila mtu ana fantasy zake mkuu
Hata kama kwako ni za kijinga lakini kwake ndio starehe yake

Na maybe asingepata sakata la kufanyiwa upekuzi hakuna ambaye angejua milele
 
Video kuvuja mikononi mwa polisi ni uzembe wa hali ya juu wa serikali za Afrika. Video za jamaa hazikupaswa kuwa online against his will ukizingatia kila kitu was consensual from all the parties involved. Angekuwa nchi zinazojielewa angeshinda hii kesi na kulipwa fidia ila sababu yupo kwenye shithole countries kimeumana.
Mkuu wachache sana watakuelewa kuhusu hili

Hilo ni swala la kimaadili tu,
Nakumbuka kesi ya Bill Clinton na Monica
 
Back
Top Bottom