Kulikuwa na haja gani kwa serikali ya Equatorial Guinea kuvujisha zile video?

Nieleweshe mkuu
Wewe jibu kwanza maana unakataa hao wanausalama hawawezi kuwa wamevujisha video kwa nafasi yao kama watu binafsi; unasema wao ni serikali,hivyo serikali imevujisha. Sasa kwa kuwa huyo balthazar ni serikali kwa hiyo serikali imelala kingono na wanawake 400?
 
Habarini wakuu.

Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .

Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?

Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.

Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu

Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?

Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?

Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?
Jibu lipo kwenye mstari wako wa mwisho.
 
Wewe jibu kwanza maana unakataa hao wanausalama hawawezi kuwa wamevujisha video kwa nafasi yao kama watu binafsi; unasema wao ni serikali,hivyo serikali imevujisha. Sasa kwa kuwa huyo balthazar ni serikali kwa hiyo serikali imelala kingono na wanawake 400?
Daah mkuu naomba niseme nimeshindwa kukuelewa. Tuishie hapo mkuu hakuna league hapa
 
Kuna watu n wazalendo halisi wakipata chance wanajua kuitumia,ref: nyundo case study
 
Kaka Ishu za makamba na Nauye unashindwa kujua ni nani?
Wewe mtu wa kawaida unaweza kwenda Vodacom wakakupa Voice note ya namba yangu?
Hapo tayari mkuu umejibu kwa kudhania 😃😁.
Anyway, suala hilo inavyoonekana lilifanywa na watumishi wa jeshi la Polisi wasio waaminifu.
 
Habarini wakuu.

Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .

Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?

Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.

Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu

Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?

Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?

Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?
Naona kama watu wanalichukulia poa hili swala
To be honest hata mimi swali la kwanza kabisa kujiuliza iliku ni hili
Inakuaje maafisa wa serikali wanaruhusu video zilizo kuwa chini yao zenye kuidhalilisha nchi, wake na ndugu za viongozi wakubwa kabisa rerikalini kuvuja na kusambaa kwenye internet?

Nakumbuka niliwahi kuangalia movie moja wenyewe wanaita based on true events
Kuna bank ilikuwa robed wahuni wakaiba mpaka picha za viongozi wa kubwa serikalini ambao fantasy zao zilikua kwenda kwenye madanguro na vibinti vidogo kisha wanafanya ufuska na kujipiga picha kisha picha zinakwenda kuhifadhiwa bank.
Vyombo vya usalama vilitumia kila resources kuhakikisha picha zinapatikana bila kusambaa na kudhalilisha serikali na wahusika
Baada ya hapo wahusika ndio wakachukuliwa hatua stahiki

Familia 400 sasa hivi zina hali mbaya sana ya kudhalilika sababu ya ujinga wa watu wa usalama na wala sio huyo kitombi

Pamoja na ujinga wa mtu privacy na utu wa mtu vinatakiwa kupewa kipaumbele pia
 
Video za p Didy nani alizibamba?
Usalama wa Taifa katika nchi za Afrika ni ajira ya ukoo au connection, vijana wengi wa usalama wa Taifa hawana akili timamu kufit kazi ile ngumu.
Serikali haijavujisha bali vijana wahuni walioajiriwa na serikali ndio waliovujisha
Sector nyingi nyeti, zimekaliwa na wajinga watupu,....
 
Mange kimambi alisema atazivujisha za kiongozi mkubwa Tanzania lakini Hadi Sasa kaamua kukaa kimya.
 
Habarini wakuu.

Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .

Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?

Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.

Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu

Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?

Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?

Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?
1. Serikali, sera na sheria za nchi yao Guenea, we Barubaru kipi kikuhemukacho?

2. Guenea vs USA wapi na wapi ilihali ni shit hole country "Trump President" tena iko kwenye third world economically and development?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Habarini wakuu.

Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .

Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?

Kwa Nini wasingechukua hatua kimyakimya? Haya mambo nadhani binafsi naona ni uzuzu tu wa serikali zetu za kiafrica, niliona hata Ile ya Masaki ya yule bwana mdogo wa TRA kufanya vurugu Club na kutishia Kwa bastola, polisi wetu nao walivujisha baada ya kukutana na video ya mmiliki akivinjari na mfanyakazi wake.

Huwa lengo Leo ni Nini hasa? Mamlaka kuvujisha video chafu mtandaoni pamoja kwamba Sheria haziruhusu

Mbona P diddy, serikali ya Marekani haijavujisha video zake?

Wakuu, nisaidieni kujua lengo la hizi serikali huwa ni nini?

Ama training Kwa wanausalama wetu ni za kiwango Cha chini?

Tabia za watu weusi tu kupenda wenzao waishi kama mashetani, alitamka malaika mmoja!

Akienda mahakamani anawashinda na hamna mtu atafukuzwa kazi hapo. Huyu hajabaka na wala hamna mtoto hata mmoja kati ya wote waliocheza naye shoo!
 
Wakati mwingine hazivujishwi makusudi, zinavuja tu kama hizi nyingine zinavyovuja. Unakuta kuna mzembe mmoja mwenye mamlaka kaamua kumuonyesha mpenzi wake mpenzi wake naye akamuonyesha shoga yake ndo imetoka hiyo.
 
Kama hutaki stress za ndoa kama endonga.
Mkeo muweke bize na mimba..
 
Naona kama watu wanalichukulia poa hili swala
To be honest hata mimi swali la kwanza kabisa kujiuliza iliku ni hili
Inakuaje maafisa wa serikali wanaruhusu video zilizo kuwa chini yao zenye kuidhalilisha nchi, wake na ndugu za viongozi wakubwa kabisa rerikalini kuvuja na kusambaa kwenye internet?

Nakumbuka niliwahi kuangalia movie moja wenyewe wanaita based on true events
Kuna bank ilikuwa robed wahuni wakaiba mpaka picha za viongozi wa kubwa serikalini ambao fantasy zao zilikua kwenda kwenye madanguro na vibinti vidogo kisha wanafanya ufuska na kujipiga picha kisha picha zinakwenda kuhifadhiwa bank.
Vyombo vya usalama vilitumia kila resources kuhakikisha picha zinapatikana bila kusambaa na kudhalilisha serikali na wahusika
Baada ya hapo wahusika ndio wakachukuliwa hatua stahiki

Familia 400 sasa hivi zina hali mbaya sana ya kudhalilika sababu ya ujinga wa watu wa usalama na wala sio huyo kitombi

Pamoja na ujinga wa mtu privacy na utu wa mtu vinatakiwa kupewa kipaumbele pia
Ni mambo ya kushabgaza sana
 
Sasa ulitaka wasivujishe Sisi tungeona wapi Mtoto wa Raisi akiwa analiwa , Acha roho mbaya basiii 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom