Kulikuwa na haja gani kwa serikali ya Equatorial Guinea kuvujisha zile video?

Wana Usalama ndio wamevujisha mkuu. Baada ya kumfanyia upekuzi ndio wakakutana na huo mzigo
Sawa,

Sasa unajuaje ni serikali imevujisha na si wanausalama hao kama watu binafsi?

Umeelewa swali langu?

Mfanyakazi wa serikali ya Tanzania akiuza silaha Congo, utajuaje hapa serikali ya Tanzania imeuza silaha na si mtu ambaye ni mfanyakazi wa serikali ya Tanzania kauza silaha mwenyewe tu bila kuagizwa na serikali ya Tanzania na hivyo serikali haihusiki?

Umeelewa swali langu?

Unahakikishaje hao waliovujisha wamevujisha kwa agizo la kiserikali na si kwa matakwa yao wao wenyewe kama watu binafsi?
 
Kwani serikali ni nani mkuu?
Wana Usalama sio serikali?

Kama serikali haihusiki, mbona hawajachukuliwa hatua waliohusika kuvujisha?
 
Hivyo ndivyo wanadamu walivyo.At some point,huwa wanachoshwa hali ya mambo ilivyo na kuhitaji mabadiriko.Inawezekana kabisa aliyevujisha aliamini hilo jambo haliwezi kupita bila kuacha alama fulani za mabadiriko ndani ya serikali,ndani ya jamii.
Hata hapa Tanzania ipo siku mtu muhimu ambaye amekuwa akitumika katika mambo machafu yanayotutesa atavujisha taarifa muhimu zitakazoleta mabadiriko makubwa.Iwe utekaji na mauaji ya wanasiasa,iwe wizi unaofanywa serikalini,iwe wizi wa na upendeleo unaoipa ccm ushindi feki,vyovyote vile.Ipo siku watu watachoka ,najamii itajua.
 
Tulizimiss pilau za ukweli sana natural zenye stelingi mmoja.. Lakini vilevile NGUVU ya mishangazišŸ˜‚
 
1 hadi 400 wewe unarekodiwaga tu? šŸ˜„

Nadhani, ujinga wake walikuwaga washaujua kitambo na wakamuacha ili baadaye(sasa) waje wafaidike na kitu fulani. Inaweza kuwa serikali, au baadhi ya miongoni waliogongewa wake.

Kama vile mwizi akikuibia usimuue wewe, bali mroge akaibe zaidi auliwe huko na wengine. šŸ˜‚
 
Na una uhakika ni Serikali ndio inavujisha?
 
Kwani serikali ni nani mkuu?
Wana Usalama sio serikali?

Kama serikali haihusiki, mbona hawajachukuliwa hatua waliohusika kuvujisha?
Hiyo nchi haina serikali, ni watu tu wanajifanyia wanavyotaka. Ndiyo maana huyo Balthasar anatombatomba wanawake anarekodi video 400 ofisini kwake na majiani.

Sasa hapo unafikiri kuna serikali?

Wewe nchi mtu rais, mwanawe makamu wa rais, na uongozi ni kwa kujuana, hata huyu Balthasar mpwa wao kiukoo huko.

Unafikiri kuna serikali hapo?
 
Duuuh
 
Swali lako lina umuhim mkubwa sana ingawa watu wanalijibu kimtaani,inawezekana kabisa video ya staff wa mamlaka ikawa imevujishwa na wamiliki wa club au vyombo vya usalama,lakini hii video ya mmiliki wa hiyo club ni dhahiri kabisa imevujishwa na wanausalama.Same na hili janga la Baltasar hizi video zimeleak baada ya wanausalama wa nchi husika kwenda kukagua nyumbani kwake.Africa bado tuna shida kubwa na vyombo vyetu na usalama,either training ni za kiwango cha chini sana au hakuna usimamizi sahihi na maudhui ya uwepo wa vyombo vya usalama kwa Africa ni tofauti na wenzetu.
 
Hujapenda uovu kuoneshwa hadharani?
 
Kwani serikali ni nani mkuu?
Wana Usalama sio serikali?

Kama serikali haihusiki, mbona hawajachukuliwa hatua waliohusika kuvujisha?
Kwa hiyo kwakuwa serikali ni watu basi tuseme serikali ya E. guinea (balthazar) imefanya ngono na wanawake 400+? Hujamuelewa bado Kiranga swali lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…