Kulikuwa na haja gani kwa serikali ya Equatorial Guinea kuvujisha zile video?

Halafu huyu baltasar kwanini alikuwa akijirekodi Kila anayemnyandua,tuanze na yeye kusudio lake hasa lilikuwa Nini?
Hiyo ni privacy yake bro ni sawasawa na wewe kuchukua uchawi. Hatuwezi kuhoji kusudio lako ni nini mathalani wewe utueleze.
 
Mbona mnatetea ujinga? hivi mmejiuliza lengo la kujirekod kwa huyu bwana kitombi video zote hizo ilikuwa nini? sasa mnalaumu kuvuja kwa video badala ya kulaani ushenzi wa mkaza wake za watu? Juzi kati hapa kuna kesi ya bint wa yombo video zilivuja ikasaidia waalifu kukamatwa. sasa katika jambo kama hii unamlaumu mvujisha clipe ama wabakaji? Mfano sasa hivi taifa linapitia wakati mgumu sana mauaji na utekaji, ikitokea siku video za watesi wa akina mzee Kibao, Ben, nk zikasaidia kukamatwa kwa watesaji utalaumu mvujisha video ama watesaji?.
 
Mkuu mbona unaongea matukio mawili tofauti, Binti wa yombo na video za huyu bwana ni mambo mawili tofauti
 
Kama unazo tuma wengine pia wawasikie wakina February Marope
 
SIDHANI KM SERIKALI NDO ILIRUHUSU HILI JAMBO,HAO WATU WALIOKUWA WANADILI NA BARTASAR LAZMA KULIKUWA KUNA MAADUI ZAKE AMBAO WAMEONA WATUMIE HII NAFASI KUMMALIZA JAMAA BY THE WAY SIONI KAMA KUNA HAJA YA KUMUONEA HURUMA HUYU BARTASAR KWANI KULIKUWA NA ULAZIMA GANI KUJIREKODI HASA UKIZINGATIA UMRI NA STATUS YAKE?

MIAKA 50+ UNAJIREKODI ILI UENDE NAZO WAPI HIZO VIDEO,ONA KILA KITU ALICHOPAMBANIA KWENYE MAISHA YAKE KIMESHUKA THAMANI.FAMILIA,PESA LOYALTY,HESHIMA VYOTE VIMERUDI 00% KWA SASA,KITU PEKEE ATAKACHOBAKI NACHO NI HIZO VIDEO TU....PENZI KITOVU CHA UZEMBE USIPOKUWA MAKINI UNAVUNA AIBU YA MILELE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…