Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

Waliomuua Ghadafi,Sadam wale wataishi milele.... Wala usiwaze....
 
Taasisi ya Urais ina wivu kupindukia.
Prigozhin alifanya kitu mbaya sana ya usaliti na mbaya zaidi kutaka kumpindua V.Putin.
Aise, Putin alijawa hasira hadi kushindwa kuongea.

Katika siasa na hata maisha yakawaida, ukitaka kummaliza mbaya au mpinzani wako msogeze karibu yako, ajisahau kidogo kisha maliza mchezo taratibu kwa uhakika zaidi.
Ndicho kilichompata prigozhin. Alisogezwa karibu, akajisahau, akajaa kwenye 18 za mipango ya Putin, wakamaliza kazi.


Sasa Maghayo. Licha ya ubaya wa jambo lenyewe,
Je, na wewe mtu mwema na mwenye huruma sana utaishi milele, hiki ni kitu cha kutafakari pia.
 
Hahaha mkuu wote njia ni Ile ile.
 
Wanalibya walibeba silaha wakaingia vitani halafu wanaisingizia Marekani.
Kwahiyo ndege za NATO zilizokuwa zinashambulia halafu waasi wanapata upenyo wa kusonga mbele umesahau?

Hukumbuki kama NATO walifunga anga ya Libya ili wapate kushambulia kwa kisingizio cha ugaidi wa Gaddaf?
 
unafahamu mikataba ya Ufaransa na baadhi na nchi za Afrika magharibi?wamehamua kutafuta mshirika mwingine mwenye rasilimali nyingi
 
wale marubani wote walikua wafanyakazi wa wagner group wahuni wezi wa mali zetu afrika magharibi na kati, mwizi wa mali zetu hata awe mzuri vipi tutamsema in tundulisuu voice, piga hao
 
Mkuu usisahau pia kwa waarabu uchwara hapo Somalia.
Pale mogadishu kuna historia mbaya ilibidi Bill Clinton arudishe vijana wake nyumbani walitekwa baada ya ambush wakawafunga nyuma ya gari na kuwaburuza mogadishu yote walishaigizia movie ile ya black hawk dawn kule mogadishu ni mojawapo ya nightmare zilizowakuta rafiki zetu hawapendi hata kukumbuka ya kule ila wale ma -war lord kwa sasa walishasambaratishwa na mogadishu imetulia sasa hail to peace and instability thanks to ethiopia ,kdf and AU plus other force behind the scene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…