Taasisi ya Urais ina wivu kupindukia.
Prigozhin alifanya kitu mbaya sana ya usaliti na mbaya zaidi kutaka kumpindua V.Putin.
Aise, Putin alijawa hasira hadi kushindwa kuongea.
Katika siasa na hata maisha yakawaida, ukitaka kummaliza mbaya au mpinzani wako msogeze karibu yako, ajisahau kidogo kisha maliza mchezo taratibu kwa uhakika zaidi.
Ndicho kilichompata prigozhin. Alisogezwa karibu, akajisahau, akajaa kwenye 18 za mipango ya Putin, wakamaliza kazi.
Sasa Maghayo. Licha ya ubaya wa jambo lenyewe,
Je, na wewe mtu mwema na mwenye huruma sana utaishi milele, hiki ni kitu cha kutafakari pia.