Unaenda mbali sana, nenda hapo SomaliaSawa. Hata pale Libya 99% ni waislamu lkn waliuana kama kuku.
Sudan asilimia kubwa ni waislam lkn wanachinjana km kuku mpk sasa hivi ila cha ajabu wanamsingizia Marekani.
Warusi wote ni wabaya.Putin angekuwa na ubinadamu asingeshambulia shule za watoto na hospital huko Ukraine.
Gadafi hakuusoma mchezo mapema angefanya kujiondoa kabla mambo hayajawa mabayaWanalibya walibeba silaha wakaingia vitani halafu wanaisingizia Marekani.
Sababu wote lengo lao mojaHalafu eti viongozi wa Africa wanamkumbatia huyu jambazi?.
Kama FaizaUkute mrembo ndio aliweka bomu kwenye sidilia. Honey trap.
Tatizo lao wao kwa wao wakifanyiana mabaya huwasikii wakilalamikiana,ila watatafuta mtu mwingine wa kupewa hizo lawama!!ndio hayo ya unguja na pemba,wakati wa chaguzi unyama wanaofanyiana utafikiria ni myahudi na mtalibani!!ila leo wanakwambia RC, ndio mbaya wao!!!wazee wa MNYAZI MUNGUSawa. Hata pale Libya 99% ni waislamu lkn waliuana kama kuku.
Sudan asilimia kubwa ni waislam lkn wanachinjana km kuku mpk sasa hivi ila cha ajabu wanamsingizia Marekani.
Kafa na utamu wake masikini
Huko kwengine sawa Ila kwa Libya umetupiga marekani haikuwai kupeleka jeshi LibyaHaya mambo yamekuzidi uwezo waachie wenye kuelewa. Iraq , Libya , Afghanistan, Syria kote huko majeshi ya marekani yameingia kupigana. Sasa kama marekani haihusiki majeshi yake yanafanya nini huko?
[emoji23][emoji23]Ukute mrembo ndio aliweka bomu kwenye sidilia. Honey trap.
Gadaf ameuwawa na walibya wenzake sadam amenyongwa na wairaq wenzakeWaliomuua Ghadafi,Sadam wale wataishi milele.... Wala usiwaze....
Ukraine lengo ni kumtia adabu mrusi kitu ambacho ameshakitekeleza, lini ulifikir kwamba siku moja Urusi atapigwa mabomu ndani ya ardhi yake? Lini ulifikir majenerali wa nchi iliyodhaniwa ni tishio kama Russia watakufa kama kuku?Msiwasingizie Warusi, balaa la Ukraine Zelensky alilitaka mwenyewe, alionywa mara lukuki lakini hakusikia la mtu zaidi ya Biden na hasa hasa Boris Johson akaambiwa awapuuze Warusi Uingereza na USA watamsaidia kwa hali na mali sasa kiko wapi si afadhali angekubaliana na masharti ya Minsky - ujeuri wa Zelensky ndio utairudisha Ukraine kweye stone age ERA akumbuke kwamba hana ubavu es kushindana na kuishinda a SUPER POWER nation kama Urusi - western nation wataendelea kuitoa kafara Ukraine ili itumike kwenye majaribio ya silaha za magharobi zoezi ambalo wame fail vibaya mno uncluding recent hyped "counter offensive"
Alikuwa amejificha kutokea wapi kama sio ndege za NATO zilishambulia msafara wakeGaddafi aliuwawa na Walibya wenyewe waliomkuta amejificha kwenye mtaro wakati wa mapigano.
Msifie lakini mwarabu huwezi kumuita true son of africa yaani hata wenyewe wanakushangaa.Hasa pale walipomuua the true son of Africa Le Gadaff
Msifie lakini mwarabu huwezi kumuita true son of africa yaani hata wenyewe wanakushangaa.
Wakijitenga na pande zote. Teknolojia watazipata wapi?Viongozi wa Afrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Wao wanafikiri Russia na China watakuwa msaada sana kwao kumbe wanawekwa kwenye mtego ili rasilimali zote ziende China na Russia.
Baada wajitoe kwenye mfungamano, watengeneze umoja wao Afrika ila wanaenda kwa mkoloni mwingine.
Putin anamuonea wivu sana Marekani, mfaransa na Uingereza kwa kuchukua mali nyingi sana kwahiyo miaka inayokuja baadhi ya nchi zitakuwa ni koloni la mrusi na mchina.
Nchi za Afrika hawajifunzi kwa Ukraine. Kwanini Urusi anaipiga Ukraine? Ukishapata jibu basi ujue Urusi hana nia njema na bara la Afrika.
We mashoga zako waarabu na wapemba?Wewe unauhakika gani kuwa Putin ndiye kawauwa? Kwanini wasiwe mashoga zenu US na Muingereza
Urusi keshaona kawaidaUkraine lengo ni kumtia adabu mrusi kitu ambacho ameshakitekeleza, lini ulifikir kwamba siku moja Urusi atapigwa mabomu ndani ya ardhi yake? Lini ulifikir majenerali wa nchi iliyodhaniwa ni tishio kama Russia watakufa kama kuku?