Viongozi wa Afrika uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Wao wanafikiri Russia na China watakuwa msaada sana kwao kumbe wanawekwa kwenye mtego ili rasilimali zote ziende China na Russia.
Baada wajitoe kwenye mfungamano, watengeneze umoja wao Afrika ila wanaenda kwa mkoloni mwingine.
Putin anamuonea wivu sana Marekani, mfaransa na Uingereza kwa kuchukua mali nyingi sana kwahiyo miaka inayokuja baadhi ya nchi zitakuwa ni koloni la mrusi na mchina.
Nchi za Afrika hawajifunzi kwa Ukraine. Kwanini Urusi anaipiga Ukraine? Ukishapata jibu basi ujue Urusi hana nia njema na bara la Afrika.
Wakijitenga na pande zote. Teknolojia watazipata wapi?
Afrika tuna kila kitu ila hatuna teknolokia ya kutumia hizo rasilimali.
Mchina biashara yake ni 3/4 kwa 1/4 mzungu 9/10 kwa 1/ 10 yupi bora?
Kuna fair play unapofanya biashara na Asia kuliko west.
West wamekuwa na teknolojia zaidi ya miaka 200 ila kuzirahisha kwa mtu wa chini ilionekana haifai wenzetu Asia wamerahisisha Teknolojia kwa kila mtu.
Bila Asia mpaka sasa INTERNET, USAFIRI,UJENZI vilionekana ni anasa.
Chini ya wamagharibi kila kitu ni gharama, kwa wamashariki wanajsli utu wa mtu.
Mchina amefsnya revolution kwa mtu mtu masikini.
Waafrika wana akoli saba kiliko unavyodhani, wamepima mizani na kuona hailipi kwa mzungu bora wachague ipande mwingine.
Unahitaji uuze uuze dhahabu gm ngapi ununue piki piki ta boxer na gram ngapi ununue Kawasaki?
Tukifeli huko tutafuta njia nyingine.