- Thread starter
- #21
Marehemu yupi Nyerere au Magufuli.Daah unamuonea wivu marehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu yupi Nyerere au Magufuli.Daah unamuonea wivu marehemu
Usijidai hujui leo shughuli ilikua kuzima mwenge pale chato na kumbukizi ya kifo cha nyerere yaani nyerere day. Kwanza jiulize kwa nini mwenge kuzimwa chato kama sio kwa heshima ya magufuli. Halafu mtafika chato bila kuzuru wapi amelala magufuli?Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?
Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.
View attachment 1974282
Huko Kuzimu KunakusubiriaYule bwana hata akiwekewa mashada ya dhahabu hawezi kuamka,fanyeni mambo mengine huyo kwa sasa ni mkazi(kihaya) wa kuzimu
Wameiharibu kabisa siku hii.Usijidai hujui leo shughuli ilikua kuzima mwenge pale chato na kumbukizi ya kifo cha nyerere yaani nyerere day. Kwanza jiulize kwa nini mwenge kuzimwa chato kama sio kwa heshima ya magufuli. Halafu mtafika chato bila kuzuru wapi amelala magufuli?
Mipango yenyewe ndiyo ya kijinga badala ya kumkumbuka Nyerere wamekumbuka kaburi la mwingine.Kulikuwa na ubaya wowote? Btw Mama Mjane mwenyewe wa muhusika alikuwa huko kwenye mashada! Ushabiki mwingine ni wa kijinga kabisa
Kipindi hicho ilikua lazima usielewe Mana mawazo yote usikute ilikua kuhusu bumu na mengineyo yakitaaluma nakupiga mizinga wazazi ,Sasa unapigwa wewe ndomana unakumbuka kots zawatuKatika vitu ambavyo Einnstein nilichelew kumumin ni pale aliposema
"Two things are infinite the universe and human stupidity; and I’m not sure about th’universe!"
Mimi niliamin kinyume chake.
Hakukuwa na sababu ni siasa tuNi takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?
Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.
View attachment 1974282
endeleeni kupanua magoliSasa ulitaka viongozi wa kitaifa waondoke Chato bila kuweka maua?
Wewe bavicha bure kabisa!
Kama Sherehe za kuzima mwenge umefanyika kitaifa Chato. Sioni tatizo mtu kwenda kwenye kaburia la Hayati Magufuli. Magufuli katendea mema nchi yetu tutamkumbuka kwa mema.Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?
Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.
View attachment 1974282
Kwahiyo mama mjane Maria kaenda Chato kumfariji Mama janeth Magufuli.Kulikuwa na ubaya wowote? Btw Mama Mjane mwenyewe wa muhusika alikuwa huko kwenye mashada! Ushabiki mwingine ni wa kijinga kabisa
Yaan wanamuogopa mtu ambae kishabakaia mifupa!! Sasa hayo mashada siwangeenda kuweka kwenye kaburi la nyerereYule bwana hata akiwekewa mashada ya dhahabu hawezi kuamka, fanyeni mambo mengine huyo kwa sasa ni mkazi(kihaya) wa kuzimu
kumbukizi ya muda gani? jiwe alifariki lini na leo ni liniAcheni unafiki,Nyerere kafinyiwa iyo kumbukizi mara ngapi?
Limefagiliwa na kutiwa maua mara ngapi?
Mara hii tukio linafanyika chato na marehemu mpya hata mwaka hajamaliza mwaka,ndo mnaona wivu watu kwenda kusalimu na kuawpa pole wafiwa.?
Kuna mijitu inawivu mpk kwa Marehemu,
Pohoo....ptuuu....koho..koh...koh.
Ptuuuuuuu...
Siyo vizuri kufanya siasa kwenye vifo vya viongozi wetu...Fanyeni siasa kwenye mambo mengine tuwaenzi viongozi wetu kwakuwapumzisha na mivutano kama hii isiyo na tija....Roho zao zipumzike kwa amani!Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?
Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.
View attachment 1974282
Kwa utashi wako kumbukizi huanza baada ya muda gani?kumbukizi ya muda gani? jiwe alifariki lini na leo ni lini
Uchonganishi wao umekuwa neutralized sasa wanakuja na mbinu nyingine ya kuleta divisions kwa watanzania....Hawa ndugu laana itawasumbua sana!Acheni unafiki,Nyerere kafinyiwa iyo kumbukizi mara ngapi?