Kulikuwa na sababu yeyote leo kuweka Mashada kwenye kaburi la Magufuli?

Kwani chadema chama makini si kimeweka mashada kwa mwalimu JKN. Sasa wivu wa nini kuwekwa mashada kwa magufuli.
Vipi Lissu nae kasemaje
 
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?

Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.

View attachment 1974282
Mama bado anaendeshwa na mihemko ya Sukuma gang.
Ingekuwa ni akili zake leo alitakiwa awepo Butiama na sio Chato.
 
Ifike kipindi marais,waziri mkuu, cdf,igp wawe na makaburi dodoma ili tuwaenzi vizuri nasio kuanza kwenda mikoani
 
Kipindi hicho ilikua lazima usielewe Mana mawazo yote usikute ilikua kuhusu bumu na mengineyo yakitaaluma nakupiga mizinga wazazi ,Sasa unapigwa wewe ndomana unakumbuka kots zawatu

Hiyo ndo babu na Bibi yetu ccm usishangae
Sikuelew kwa sabab sikuamin ujinga ni infinity.
Sina tatzo na matumiz ya pesa ila ni matatizo na watu kupretend wanaupendo huo.
 
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?

Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.

View attachment 1974282
Kaburi la Diana mke wa mwana wa malkia wa Uingereza bado wanamuwekea mashada ya maua na ili hali kafa kitambo! Ni dalili za upendo tu! JPM alipendwa sana.
 
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?

Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.

View attachment 1974282
Ulimchukia jumla Magufuli wewe kibaka
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa Devine Order

Nyerere kamheshimisha JPM…Bado wako alive…they will live forever
 
Kwa nini Nyerere hajawekewa maua leo siku yake?

Nyerere amemtumia mama kumuwekea maua JPM…ishara ya kumkubali jembe letu….Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi…
 
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?

Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.

View attachment 1974282
Hili jambo limenisikitisha Sana ,kwenda tuu kwao kusalimia ndugu zake ingetosha,mwenye shughuli ni mama Nyerere.

Hii ni dhihaka kwa familia ya baba wa Taifa na Nchi
 
Nyerere alifaulu kudhibiti mabaya yake yasijulikane
 
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli iliyowapeka na kama kulikuwa na mtu angependa kutembelea kaburi kwanini asingeenda jana au kesho kupisha hii siku muhimu ya kumbukumbu ya Nyerere?

Njia nzuri ya kukumbuka siku ya marehemu ni kusafisha kaburi lake au kulitembelea na kuwafariji wafiwa, kwa vile leo ilikuwa siku ya Nyerere ilikuwa sahihi kabisa kuzuru kaburi la Nyerere na kumfariji Mama Maria badala ya kuweka maua kwenye kaburi la Magufuli.

View attachment 1974282
Kilichofanyika leo ni sawa na siku ya Pasaka kusherehekewa siku ya Idi el Haji, hakuna uhusiano kabisa. Kila adhimisho Lina siku yake, leo ni Nyerere day, Magufuli day ni March 17. Washauri wa Rais Samia wamemdhalilisha Mwalimu na mjane mama Maria. Mashada ya maua yangewekwa Butiama siyo Chato, huu upuuzi wa kuadhimisha Pasaka siku ya Idi usirudiwe tena, kila adhimisho Lina siku yake.
 
Kwahiyo mama mjane Maria kaenda Chato kumfariji Mama janeth Magufuli.
Acha kujitoa ufahamu, unajua ni kwa nini watu wameenda Chato, ila ni kutafuta umaarufu rahisi ndiyo kunawaponza CDM
 
M

Mipango yenyewe ndiyo ya kijinga badala ya kumkumbuka Nyerere wamekumbuka kaburi la mwingine.
Mbaya ni nini kumkumbuka Jiwe, kama mwenge mwaka ujao ukienda kuzimwa Lupaso, ambayo itakuwa kilele cha Nyerere day na Siku ya vijana, then kwa mtazamo wako viongozi wataoenda kule wasiende kuweka mashada kwenye kaburi la Mkapa kisa ni Nyerere day?
 
Back
Top Bottom